Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,862
maharamia ccm watakubaliii............Makufuli tu hawezi kulaani atakua kachinga kuku leo
Samahani basiUsiniletee imani zako za kishirikina.
Punguza munkari bibiehuna lolote wewe mnafiki tu!na ole wenu afe
Wanafiki wakubwa..hilo tukio limesukwa hapo Lumumba
Hebu rudia kusoma hio comment huenda ulikuwa unasoma ukiwa na kimuhemuheSo suka angekanyaga mafuta kwenda wapi kwa mfano?
Arudi rivas to Bungeni?Akanyage mafuta kwenda home au aanza kuzunguka nao wakora?
May Allah bless Me and You
mtu akishaanza kula nyama ya mtu atakula tu ...mtawala ameshaamua kuwa muuwaji atawauwa tu wapinzani wake wote wa ndani na nje ya chama chake....
nashangaa sana wanaoshangilia huu utamadun mpya pengine nao ni mamluki wa kutoka rwanda kama huyo
sio maisha yetu haya watanzania
Kufuatia kitendo cha tindu lisu kupigwa risasi, ni wakati muafaka wa upinzani kujiondoa ubunge na kuanza uanaharakati wa na kuacha ccm pekee waongoze nchi kama wanavyotaka, damu ya lisu iwe chachu ya kudai upya uhuru wa tanzania tulionyang'anywa tangu oktober 2015 na minyang'ao. Watanzania tupaze Saudi zetu.
Nikifikiria kauli za JPM sidhani kama ni mcha Mungu, Kumcha Mungu ni kupenda haki na kuchukia maovu na siyo kukimbilia kila kanisa.Baada ya Rais wa urusi kuendelea kufanya kazi yake kwa umakini huku akiwazidi kete wamagaribi ,,, wamagaribi walianza Ku demonize Mr.Putin ili kuonekana ni Muuaji wa Wapinzani wake ...Wanasiasa Mashuhuri kama Akina BORIS NEMTSOV walipigwa Risas mchana kweupeeeeee Kama Political Sacrifice ili tu Putin aonekane nimuuaji wa wapinzani wake .
RAIS MAGUFULI ,,NI MCHAMUNGU ,,RAIS MAGUFULI NIRAIS ANAYEPENDA HAKI ,, NINA KATAAA KATA KATA ,,NADAIMA HILI TUKIO SIWEZI KULIUSIANISHA NA SERIKALI YANGU ... HII SERIKALI INAJIELEWA SANA NABADO TANZANIA HAIJAFIKIA HII HATUA .
NACHOAMIN WAMAGARIBI HAWANA RAFIKI ,, WAKO API AKINA SABHIMBI ????? KIBARAKA ALOTUMIWA NAWAMAGARIBI LKN NDIO HAO HAO WAKAMUUA ?????? .
HII NI NJIA YA WAMAGARIBU KUTAKA KUPATA SABABU ZA KUMDEMONIZE RAIS MAGUFUL NAMWISHO WASIKU AONEKANE MBAYA.
POLE SANA TUNDU LISU , POLE SANA MKE WAKO WATOTO NAFAMILIA NZIMA.
POLENI SANA WATANZANIA WOTE.
Haya maccm mauaji pumbavu sana yanatukejeli wakati yanatutesa shenzi kabisa ccm
Duh!Kuanzia Leo staki stori nakiumbe cha ccm iwenakata roho au kwa vyovyote vile
Helicopter?? Dar to Nairobi?? Duh! Dom to Nairobi au??Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ameruhusiwa kutoka chumba cha upasuaji akiwa na fahamu na sasa anapelekwa Nairobi nchini Kenya kwa matibabu zaidi.
======
Taarifa zote za uhakika tutakuwa tunazitoa kila baada ya muda mfupi...
Picha HELKOPITA iliyombeba Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ikiwa angani kuelekea Nairobi
View attachment 583481
Mmmmmmh
AMEN!A DARK DAY TO THE DEMOCRACY AND FREEDOM OF SPEECH IN TANZANIA AND AFRICA AT LARGE IF NOT THE WORLD.
STAY STRONG COMRADE AND HOLD TIGHT, WE STILL NEED YOU.
MY PRAYER ARE WITH YOU AND YOUR BELOVED FAMILY
Hebu rudia kusoma hio comment huenda ulikuwa unasoma ukiwa na kimuhemuhe
Point :' iweje dereva muda wote kagundua na kaona suspicious movement kuwa bosi wake anafuatiliwa kwa nyuma kisha bila hiana kaelekea nyumbani
Wale wa Cuf vipi??Mungu amewaonyesha kuwa ni yeye mwenye maamuzi ya uhai wa mtu si binadamu