DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Duu. Pole sana TL, Hii ni habari mbaya kwa nchi yetu, Hao watafutwe. Tunakuombea kwa MUNGU upone mapema na urejee katika majukumu yako.
 
cd02777f70637ac469b083253a00d448.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
Wanafiki wakubwa..hilo tukio limesukwa hapo Lumumba
 
So suka angekanyaga mafuta kwenda wapi kwa mfano?
Arudi rivas to Bungeni?Akanyage mafuta kwenda home au aanza kuzunguka nao wakora?

May Allah bless Me and You
Hebu rudia kusoma hio comment huenda ulikuwa unasoma ukiwa na kimuhemuhe

Point :' iweje dereva muda wote kagundua na kaona suspicious movement kuwa bosi wake anafuatiliwa kwa nyuma kisha bila hiana kaelekea nyumbani
 
...na kweli nyama za watu alizosema mwalimu zinaliwa kweli kweli sasa... Na mbaya zaidi wale wanaokemea ndio wahanga wakuu sasa...

mtu akishaanza kula nyama ya mtu atakula tu ...mtawala ameshaamua kuwa muuwaji atawauwa tu wapinzani wake wote wa ndani na nje ya chama chake....
nashangaa sana wanaoshangilia huu utamadun mpya pengine nao ni mamluki wa kutoka rwanda kama huyo
sio maisha yetu haya watanzania
 
Kufuatia kitendo cha tindu lisu kupigwa risasi, ni wakati muafaka wa upinzani kujiondoa ubunge na kuanza uanaharakati wa na kuacha ccm pekee waongoze nchi kama wanavyotaka, damu ya lisu iwe chachu ya kudai upya uhuru wa tanzania tulionyang'anywa tangu oktober 2015 na minyang'ao. Watanzania tupaze Saudi zetu.

Unawaza kama mimi kiasi japo ningeenda mbele zaidi udiwani na uenyekiti
 
Baada ya Rais wa urusi kuendelea kufanya kazi yake kwa umakini huku akiwazidi kete wamagaribi ,,, wamagaribi walianza Ku demonize Mr.Putin ili kuonekana ni Muuaji wa Wapinzani wake ...Wanasiasa Mashuhuri kama Akina BORIS NEMTSOV walipigwa Risas mchana kweupeeeeee Kama Political Sacrifice ili tu Putin aonekane nimuuaji wa wapinzani wake .

RAIS MAGUFULI ,,NI MCHAMUNGU ,,RAIS MAGUFULI NIRAIS ANAYEPENDA HAKI ,, NINA KATAAA KATA KATA ,,NADAIMA HILI TUKIO SIWEZI KULIUSIANISHA NA SERIKALI YANGU ... HII SERIKALI INAJIELEWA SANA NABADO TANZANIA HAIJAFIKIA HII HATUA .

NACHOAMIN WAMAGARIBI HAWANA RAFIKI ,, WAKO API AKINA SABHIMBI ????? KIBARAKA ALOTUMIWA NAWAMAGARIBI LKN NDIO HAO HAO WAKAMUUA ?????? .

HII NI NJIA YA WAMAGARIBU KUTAKA KUPATA SABABU ZA KUMDEMONIZE RAIS MAGUFUL NAMWISHO WASIKU AONEKANE MBAYA.


POLE SANA TUNDU LISU , POLE SANA MKE WAKO WATOTO NAFAMILIA NZIMA.
POLENI SANA WATANZANIA WOTE.
Nikifikiria kauli za JPM sidhani kama ni mcha Mungu, Kumcha Mungu ni kupenda haki na kuchukia maovu na siyo kukimbilia kila kanisa.
 
Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ameruhusiwa kutoka chumba cha upasuaji akiwa na fahamu na sasa anapelekwa Nairobi nchini Kenya kwa matibabu zaidi.
======
Taarifa zote za uhakika tutakuwa tunazitoa kila baada ya muda mfupi...
Picha HELKOPITA iliyombeba Mwanasheria Mkuu wa Chadema Tundu Lissu ikiwa angani kuelekea Nairobi
View attachment 583481
Helicopter?? Dar to Nairobi?? Duh! Dom to Nairobi au??
 
Najaribu kufikiria, hivi Tundu Lissu alitaka kutolewa roho na serikali? Au watu wasioipenda serikali wameamua kumharibia Mhe. Rais hasahasa siku ya leo wakati anapewa report ya uchunguzi wa Almasi na Tanzanite?

Nafikiria kama ni kazi ya serikali, basi aliyetumwa ni bwege na hajui timing; maana ingawa tukio la jaribio la kuuwawa Tundu Lissu limetokea baada ya kupokea kwa report, thread ya Lissu kutaka kuuwawa imeshakuwa kubwa mara mbili zaidi ya hii ya Mhe. Rais.

Lakini kama waliopanga jambo hili ni wale jamaa wa madini, basi kweli wamebobea kwenye conspiracy.

Uhusika wa serikali hautatiliwa shaka, pale tu mtuhumiwa atakaposhikwa haraka.

Lakini kama serikali imehusika, sidhani kama hii inasaidia zaidi ya kuleta chuki. Kuna watu wasiokuwa sahihi watakuwa kwenye nafasi za uteuzi. Hapo Magufuli itabidi azipitie upya taasisi zake.
 
Hebu rudia kusoma hio comment huenda ulikuwa unasoma ukiwa na kimuhemuhe

Point :' iweje dereva muda wote kagundua na kaona suspicious movement kuwa bosi wake anafuatiliwa kwa nyuma kisha bila hiana kaelekea nyumbani

They nare used to it uje, kufuatiliwa kwao ni kila siku, namaini hakuna alieyetegemea mchana kweupe hivyo risasi zitapigwa.
 
Kuna Mengi ya kutafakari

1) Goverment kutisha watu na kuwanyamazisha

2) Wawekezaji wa Madini kupata chanzo cha kuiminya Serikal na kuanza kuiwekea Vikwazo kwa kukiuka haki za Watu ( Mmoja wa Wataalam wao wa Mazungumzo ndio kazi zake na ni Mjeshi Mstaafu wa Nato)

3) Watu ndani ya Chama cha Serikal kumchanganya Rais baada ya kuona 'anawafata fata'
4) Chama chake ili kujenga Mazingira kuwa ni Serikal bila ya Yeye mhusika kujua
5) Magaidi wa Kibiti kuleta tension kwny Nchi ili wapate fursa ya kuanza Tena hujuma

Yote hayo si lazima hata Moja iwe kweli ni hisia zangu tu zisizo na Utaalam wa kijasusi wala kipelelezi
 
Back
Top Bottom