DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Kuuwa mtu ni dhambi kubwa sana kwa Mungu wewe kama unaamua kuuwa watu na wewe kuna siku utakufa na utaenda motoni mwili wako utaoza utaliwa na funza
 
e785bff2855b2d8720608ab72e22acfa.jpg
 
Yawezekana ni
1. Wazee wa makemikia
2. Ugomvi wa madaraka ndani ya chama
3.Ugomvi wa madaraka ndani ya TLS
4. Wamedhurumiana na ACACCIA kwenye
5. Ugomvi wa mahusiano
6. Wapiga kura wake wana hasira na kushindwa kutekeleza ahadi
7. Kutafuta kiki na support za kimataifa
8. Mabepari wamempiga ili kuchochea vurugu
9......
sio bure, utakuwa unamjua master plan wa huu mpango, watu wanafanya mambo ka wao wataishi milele
 
Atutokubali patachimbika kwakweli

iPhone 7 /A1786)
 
tuko hapa Dodoma general kiukweli lissu wamemchakaza sana kwa risasi miguu yote miwili huwezi hata kumwangalia,Mwili wote umeloa damu jamani tumwombee tuu hii nchi ilipofikia .....duuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili swala ni kuomba wapelelezi wa kimataifa watusaidie. UN iingilie kati. Au wanasubiri damu kiasi gani imwagike.

[emoji124]‍♂️naenda zimbobo.
 
hakuna mwenye mawazo hayo..bora ungesema majambazi kuliko hii
think, talk intel! ...anybody anaweza kusema kama uivyosema. "ni majambazi". We need to apply intel to dig deeper using different approaches. Hapa na JF GT should be allowed find resolution of matters considered complex .
 
Get well soon brother Lissu.Mungu wetu ni mwema sana.Kama ukienda kazi aliyokuleta duniani kwayo umeitimiza brother.If you survive...you have unfinished business with this country
..
 
  • Thanks
Reactions: bht
Back
Top Bottom