Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,764
- 2,366
getwell soon lissu..!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanikumbusha yule dada mgombea Urais wa Rwanda...Ukiona MTU yuko radhi kuua ili usimpinge muogope kama ukoma.
Sent using Iphone 7+
sio bure, utakuwa unamjua master plan wa huu mpango, watu wanafanya mambo ka wao wataishi mileleYawezekana ni
1. Wazee wa makemikia
2. Ugomvi wa madaraka ndani ya chama
3.Ugomvi wa madaraka ndani ya TLS
4. Wamedhurumiana na ACACCIA kwenye
5. Ugomvi wa mahusiano
6. Wapiga kura wake wana hasira na kushindwa kutekeleza ahadi
7. Kutafuta kiki na support za kimataifa
8. Mabepari wamempiga ili kuchochea vurugu
9......
think, talk intel! ...anybody anaweza kusema kama uivyosema. "ni majambazi". We need to apply intel to dig deeper using different approaches. Hapa na JF GT should be allowed find resolution of matters considered complex .hakuna mwenye mawazo hayo..bora ungesema majambazi kuliko hii