Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah.... Ole wake nani chief? Kama una ubuyu mwaga bana....[emoji13] [emoji13] [emoji13]huna lolote wewe mnafiki tu!na ole wenu afe
Unazungumzia usalama hawa wanaobeba bastola kushoto wakati wanatumia mkono wa kulia au?I su
I concur with you. Lisu na Chadema wametengeneza hii kitu.....
usalama hawawezi kuuwa kijinga hivyo....
Tunakoelekaa kubayaaHapana jamani Mungu naomba isiwe kweli jamani sitaki kuamini
Wakuu,
Inadaiwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi.
Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma.
Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea Bungeni na alienda Nyumbani kula chakula cha mchana.
Lissu amepigwa risasi 5, miguuni na tumboni.
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema hali ya Mbunge huyo aliye hospitalini sasa ni mbaya!
![]()
![]()
Updates to follow
Kwa Area D ilivyo huwezi kuniambia watu wasiojulikana, hii hainiingii akilini hata kidogo.. Hili swala sio la kushabikia hata kidogo, kuna shida mahali, kama mtu anaweza kupigwa risasi mchana ktk eneo kama la Area D, basi usalama wetu ni mdogo sana
Lissu alisema kuna gari Huwa inamfuatilia sijui kama polisi walifanyia kazi hiloSitaki kuamini kama yule 'jamaa' aliyeomba ruhusa ya kumuua TL ..ndiyo amepewa kibali rasmi..!
aisee..kwamba nani ?Serikali imwekee ulinzi