DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

I su

I concur with you. Lisu na Chadema wametengeneza hii kitu.....

usalama hawawezi kuuwa kijinga hivyo....
Unazungumzia usalama hawa wanaobeba bastola kushoto wakati wanatumia mkono wa kulia au?
Get well soon Tundu
 
  • Thanks
Reactions: bht
Haishangazi sana. We are preaching hate and dislike for criticism and opinions everyday, and this is what comes out of it.
 
Wakuu,

Inadaiwa Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, ajeruhiwa kwa risasi.

Kwa sasa wapo hospitali ya Mkoa, mjini Dodoma.

Ameshambuliwa kwa risasi wakati akishuka nyumbani kwake Area D Mjini Dodoma, alikuwa akitokea Bungeni na alienda Nyumbani kula chakula cha mchana.

Lissu amepigwa risasi 5, miguuni na tumboni.

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema hali ya Mbunge huyo aliye hospitalini sasa ni mbaya!



9f94cea0e0708e5fafb57915caf1dd27.jpg

abc21fedd617180297c6247f403b7362.jpg


Updates to follow


Ni juzi tu kuna jamaa alijitapa na kujitutumua kumuua kamanda lisu ila police wakawa kimya lakini sasa in wazi kuwa lisu anawindwa kama alivyo sema mwenyewe
Ila tuwe wakweli,lolote la kumkuta lisu litatughalimu
 
Cha msingi hapa navishauri vyama vya upinzani viungane na kwenda Mahakamani (regardless kama iko chini ya kaimu au la) na waiombe iiagize serikali kufuta sheria ya kuwa na vyama vingi.

Tulikubali vyama ili vilete maendeleo na amani lakini kama yanaanza haya ni bora kuwepo mfumo mwingine.
 
Inashangaza sana sana. Sijui sisi wa huku vichochoroni tutakuwa kwenye hali gani. Ndio maana watu wanapotea hovyo hovyo hakuna anayehoji mambo yanaisha kimya kimya.
Kwa Area D ilivyo huwezi kuniambia watu wasiojulikana, hii hainiingii akilini hata kidogo.. Hili swala sio la kushabikia hata kidogo, kuna shida mahali, kama mtu anaweza kupigwa risasi mchana ktk eneo kama la Area D, basi usalama wetu ni mdogo sana
 
Unajiskiaje kutunga habari za uwongo tuna jua lengo lenu hampendi kuskia ukweli mpotayari hata kumwaga damu mlivyotega bomu kwenye zile ofisi za mawakiki na kuteka walinzi pia walikuwa ni hao wazungu Wa migodini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom