DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Mod naona mnatoa uzi mnawaogopa wanao uwezo wa kuuwa mwili? Ogopa anayeuwa roho.

Naomba tujadili hapa malengo maana hao wauwaji tunaoishi nao au waliowatuma kufanya kazi hiyo.

Kuna siri gani aliyo nayo Lissu hadi kwa kumuuwa ili kuficha maovu yao?

Hata siku moja Lissu sijawai kusikia akigombana na mtu binafsi zaidi ya serikali tena kwa hoja na sio kingine.

Sasa lengo ni kumuuwa sio kingine je kuna siri gani wasiopenda isikike?

Bunduki iliyotumika ni wazi sio bastola ni bunduki yenye uwezo wa kupiga risasi nyingi kwa wakati mmoja (MG) kama smg. Nani anayemiliki na apige na apotee mchana kweupe
 
~~>>>Wamemshindwa kwa Sheria sasa wameamua Kumuua!!...........
 
Lakini kwa haraka haraka ukipitia michango ya pro-CCM humu na story wanajaribu kutunga ili ku divert ukweli inaonyesha kuwa huenda kuna ushiriki toka sehemu zile.

Kwa sasa tunaomba kwanza apone kisha haya mengine yatajulikana tu.
 
Ni juzi tu kuna jamaa alijitapa na kujitutumua kumuua kamanda lisu ila police wakawa kimya lakini sasa in wazi kuwa lisu anawindwa kama alivyo sema mwenyewe
Ila tuwe wakweli,lolote la kumkuta lisu litatughalimu
Sasa ulitaka polisi wafanyeje kwa mtu anaewatukana kila siku, wengine mpaka mnafanya sherehe mkisia polisi kauawa
 
Msiendeshwe kwa mihemko ya kiitikadi kwa sasa hii taarifa Sio nyepesi na Haiko biased Ina impact pande zote mbili so tumieni vichwa kufikiri na umakini wa Hali ya juu msiwe Kama nyumbu waliotishwa na simba wa kulia while kushoto kuna simba wanasubiri nyama.

Tulizeni vichwa mutafakari msome nyakati.. Hii ndio Inaitwa michezo ya vita vya kisiasa na kiuchumi hasa nchi za africa watu wanacheza na intrest zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
PICHA inajieleza ngoja niingie KATIKA maombi sasa hivi
bc8a0d8cc40b49cc764a4c19002ef80f.jpg
 
Chadema hawaaminiki,kama waliweza kumuua chacha wangwe na kumpoteza kabisa saanane,hawashindwi kwa Lissu ambae inasemekana anautaka uenyekiti
 
Back
Top Bottom