DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Kwa hiyo mkuu muda wote huu unahisi Jf hakuna taarifa had unaanzisha uzi?
 
Risasi tano unasema inawezekana akawa amestage ....... Seriously!!?
Ingekuwa ni mzazi wake kapigwa risasi tano sijui kama angeandika takataka za namna ile! Unajua ni rahisi sana kutoa awkward comment ukiwa nyuma ya keyboard na jina feki.
 
Basi hapo nyie wanyama mtaanza kumlaumu rais Magufuli bila hata ushahidi wowote ule.
 
Kamanikweli, basi alaaniwe aliejaribu kumuua.

Tunahitaji watu wenyekuelewa mambo kama Lisu watumie uwezowao kumuunga mkono mwenye nyumba ili taifa lisonge mbelekimaendeleo.




Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe ukimuunga mkono mnafiki watakushangaa hata wanao...

-Domhome-
 
daah natetemeka mwili mzima,naomba Mungu taarifa hizi zibaki kuwa kama zilivyo kusiwe na habari nyingine kuhusu Lisu my God!!
 
Tumefikia huku? So sad, we pray for your quick recovery Mr. Lissu.
 
Back
Top Bottom