DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Aisee, hii ilikuwa lazima itokee sio kwa harakati zile alizozifanya hapa kipindi cha katikati
 
Dah! Safari ndio imeanza na tukoelekea siko tulikotarajia kwenda! Swali, je tutafika? Na tukifika tutakuwa katika hali gani?
Pamoja na maombi yote tunayolazimishwa haya bado yanatokea?
Pole TL, Mungu atakuponya kwani hakuhitaji kwa sasa bali atakubakiza umalize kazi yake iliyo njema. Tunakuombea upone haraka.
 
Unapokuwa karibu na mafisadi inabidi uwe makini sana; Wanapoona hawakuitaji tena wanaweza kutumia mwili wako kuleta machafuko!
 
Habari mbaya sana hii
Mwenyezi Mungu tunakuimba umponye
 
xng hua
😀😀😀😀😀
Inawezekana kabisa ni tukio la kihalifu tu la kawaida,tutajuaje labda alitakiwa kuporwa hiyo V8.
Ni mapema sana ku jump into conclusion kama bavicha mnavyofanya,tumuombee kwanza Tundu apate nafuu na tusubiri taarifa ya polisi
 
risasi sio nzur hasa kwa taifa letu linaloendlea we need to focus on positive staffs
 
Daaaaah hii habari sio nzuri. Wahusika watafutwe ili sheria ichukue mkondo wake
IMG-20170907-WA0009.jpg
IMG-20170907-WA0008.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni aibu ku
Subiri ujue amepigwa wapi hiyo risasi pia.. na acha kusingizia mamlaka wakati unajua na yeye ni msaliti na labda tapeli kwa anaowasaidia kuiba mali za nchi yetu.. pesa kala na ugumu wa serikali unaendelea kuwanyoosha wanaompa bahasha kuvuruga..
shabiakia mauaji ya binadamu mwenzio maana kesho ya kwako huijui kabisa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom