DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

wachukue ndege faster wampeleke hata kenya huku hizi hospitali zetu atakufa... jaman
 
Sitaki kuamini kama tumefikia huku katika nchi inayosadikika na kujitapa kuwa ni kisiwa cha amani duniani.
Ina maana Lissu ni kwanza kupigwa risasi nchi hii? Au ndo mambo ya Double Standard
 
nasikia harufu ya damu nchini mwangu.!!!
ehh Mungu jaalia uponyaji wa mwanao huko alipolazwa. mamia ya watanzania tupo nyuma yake...
huyo shetani aliyefanya hivo tunakuachia ww uamue hukumu juu yake.!


ilaaa ooopssss tuchajue marafiki wazuri tushauriane mazuri......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah....ukiona unahitimisha upesi hili tukio.... basi ujijue....aidha akili yako ni fupi sana....au ni mlevi tu[emoji13] [emoji87]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
Back
Top Bottom