Simba Asiyefugika
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 600
- 239
Kama unawajua katoe taarifa usizikalieSasa hivi wanajipongeza kwa kazi nzuri waliyofanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unawajua katoe taarifa usizikalieSasa hivi wanajipongeza kwa kazi nzuri waliyofanya.
We ndo umeanzaBasi hapo nyie wanyama mtaanza kumlaumu rais Magufuli bila hata ushahidi wowote ule.
Hivi huku duniani kuna watu wenye akili mbovo eee sasa wanatengeneza tukio la kupigwa risasi?wao kina nani kuwa specific kidogo.
Ina maana Lissu ni kwanza kupigwa risasi nchi hii? Au ndo mambo ya Double StandardSitaki kuamini kama tumefikia huku katika nchi inayosadikika na kujitapa kuwa ni kisiwa cha amani duniani.
Duuh..Ameshakufa au bado?
Watasema nini wakati wanajua maelekezo yalipotokasijasikia polisi wakisema lolote