DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Inasikitisha sana. Nimeumia sana Lissu ana kiwango cha juu sana ambapo vichwa vya kawaida ni ngumu kumuelewa anachozungumza. Naamini Mungu atamponya. Sitaki kuamini kwamba kwa hili ndo watakua wamemnyamazisha nafikiri ndo watakua wamemuongezea munkari. Viva Lissu VIVA my brother from another family.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake, mradi havunji sheria
 
Ndiyo narindwa km ww ulivyorindwa toka majuzi ulipokuwa unasherehekea vifo vya wanaCuf lipumba
Nalindwa na sio narindwa.
Ulivyolindwa na sio ulivyorindwa.

Hakikisha unaandika vizuri tunapita wengi kuwasomeni.
 
Hawa Watu ndiyo wanafaa kuwaendea kwa mganga wa Kenya aliyewaroga walioiba gari,na kubaki wanacheza mayenu siku kucha tena wkiwa uchi,hii Nchi ni dhahiri haitaki ukosoaji kama tumefika hapa basi Tanzania si sehemu salama tena,hatuna tofauti na Kenya,Burundi au Uganda katika hali ya usalama,hili tukio litailetea Tanzania sifa mbaya kama lilivyotokea lile tukio la kuuwawa kwa mpingaji w ujangili,raia wa Afrika Kusin,sifa mbaya sana na kila kukicha matukio ya namna hii yanazid kuongezeka,hasa hasa ya utekaji sasa ni mwendo wa moto, ni hatari sana Mungu atunusuru na kadhia hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom