DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

HAMA KWELI HARAKATI ZA KUPATA NAFASI YA KUGOMBEA KITI CHA URAISI mwaka 2020 KWENYE CHAMA CHA WACHAGA ZIMEANZA ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,



MNA RUHUSIWA KUNIPONDA.
 
Kulipuliwa kwa ofisi za IMMA Advicate mara Lissu shot.

Hahaha.

We know whats comming.
 
85dc193b3d0987ad16e6a2a42a827a6e.jpg
Chuki inatupeleka pabaya sana, mmefikia mahali mnataka kumuua Lissu?
I really love Lissu, I love his integrity, lakini nilishangazwa sana na anavyoponda jitihada za kuwazuia waizi wanaotuibia madini.. Hata kama serikali ilikuwa inakosea njia waliyokuwa wanaitumia, he is a Tanzanian, hakuna ulazima wa yeye kuside na wezi wetu..

I'm really sad for Lissu, lakini pia ajue chama alichopo si cha upinzani.. I wish I could speak the truth lakini siwezi, CDM si chama cha Upinzani. Let me end there...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wengine wanashangilia sana tena kwa kejeli,
 
Back
Top Bottom