DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

6b39948d8f65b9dde499979f5dc6f380.jpg


huyu ni dereva wa Lissu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Subiri ujue amepigwa wapi hiyo risasi pia.. na acha kusingizia mamlaka wakati unajua na yeye ni msaliti na labda tapeli kwa anaowasaidia kuiba mali za nchi yetu.. pesa kala na ugumu wa serikali unaendelea kuwanyoosha wanaompa bahasha kuvuruga..
Unataka wenzio wasubir kutoa shutuma wakati ww tayar ushafanya hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The Aladeen way of silencing the government critics in the popular Waadiya
 
Tumeshatolewa kwenye reli, tunacheza tune nyingine. Iliyokuwa inahit ni kwamba aliyegundua kuwa tunaibiwa na yeye ni sehemu ya wizi wa namna ile ile aliyogundua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We are not ready to loose Tundu lissu oh god, dear god please protect him with your holly blood .. do a miracle god that this man tundu lissu RISE AGAIN... my heart is bleeding over this news, this whole day is ruined for me...
 
Hakuna anaeujua ukweli kati yetu so lawama wasipewe serikali, kumbuka pia Lissu ni wakili vipi upande wa aliowashinda kesi, Pia Lissu kajiimarisha vizuri ndani ya Chadema so huenda kuna watu ndani ya chama wanaohofia kasi yake.
Mambo haya tuviachie vyombo vya usalama vifanye kazi yake ya uchunguzi wa hili tukio la kinyama.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wale wale!!!!
 
Tunakuombea TL Muumba akunusuru, tunakuhitaji sana katika mapambano ya kupiagania haki za mtanzania, mtanazania ambaye amekwama kiuchumi na katika fikira mgando. Haishangazi kuona haya yanatokea ukizingatia kuwa mfalme amepanda mbengu mbaya sana miongoni mwa vyombo vya dola na wananchi wasiojielewa kuwa ye yote anayetofautiana naye kifikira na kimtazamo ni MSALITI. Neno usaliti limeshika kasi sana katika vinywa vya waTz kutokana na fikiria hizo za mfalme. Haishangazi na tunaelekea kubaya.
 
Back
Top Bottom