DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

daah vx inamatundu kama 19 yani walikuwa wamezamilia kumaliza mchezo hapo hapo
 
For the government to return / regain trust such culprits including bomber of the law office should be caught, investigated and reported publicly. Bad English though but mmeelewa. This kibiti thing, people in sandarusi has given people Luton is mini
 
Kama movie kumbe live. Wanajamii wenzangu tuzidi kuliombea taifa letu la Tanzania, kwa hali hii tunakoelekea sio kuzuri. Mungu ibariki Tanzania; Mungu ibariki Afrika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Difficult to magine!!

Mungu wetu mwenye uweza wote tunakuomba yalinde maisha ya mtumishi wako ambaye watumishi wa shetani wanataka kutoa roho yake.

Waangamize wauaji na aliyewatuma kwa mkono wako mkuu na wenye mamlaka yote ili wakajue kuna mkuu kuliko wote, ambaye ni wewe Mungu wetu wa haki na uponyaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aaamiina
 
Baada ya Rais wa urusi kuendelea kufanya kazi yake kwa umakini huku akiwazidi kete wamagaribi ,,, wamagaribi walianza Ku demonize Mr.Putin ili kuonekana ni Muuaji wa Wapinzani wake ...Wanasiasa Mashuhuri kama Akina BORIS NEMTSOV walipigwa Risas mchana kweupeeeeee Kama Political Sacrifice ili tu Putin aonekane nimuuaji wa wapinzani wake .

RAIS MAGUFULI ,,NI MCHAMUNGU ,,RAIS MAGUFULI NIRAIS ANAYEPENDA HAKI ,, NINA KATAAA KATA KATA ,,NADAIMA HILI TUKIO SIWEZI KULIUSIANISHA NA SERIKALI YANGU ... HII SERIKALI INAJIELEWA SANA NABADO TANZANIA HAIJAFIKIA HII HATUA .

NACHOAMIN WAMAGARIBI HAWANA RAFIKI ,, WAKO API AKINA SABHIMBI ????? KIBARAKA ALOTUMIWA NAWAMAGARIBI LKN NDIO HAO HAO WAKAMUUA ?????? .

HII NI NJIA YA WAMAGARIBU KUTAKA KUPATA SABABU ZA KUMDEMONIZE RAIS MAGUFUL NAMWISHO WASIKU AONEKANE MBAYA.


POLE SANA TUNDU LISU , POLE SANA MKE WAKO WATOTO NAFAMILIA NZIMA.
POLENI SANA WATANZANIA WOTE.
Pia wamagharibi ndio wanaoteka wasanii
Ndio wanaovamia vituo vya habari
Ndio wanaobomolea watu nyumba kinyume cha sheria
Ndio wanaotesa matajiri kisa waliunga mkono wapinzani
Ndio wanaosema watawashughulikia wapinzani
Ndio waliomtolea Nape risasi hadharani
 
Back
Top Bottom