Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Akipona hapo itabidi ajifunze kuutumia mdomo wake vizuri.Ee Mungu nakuomba ikiwezekana nichukue Mimi T.l abaki maana yeye anaitajika sana ktk Tz ya Leo. Amen
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akipona hapo itabidi ajifunze kuutumia mdomo wake vizuri.Ee Mungu nakuomba ikiwezekana nichukue Mimi T.l abaki maana yeye anaitajika sana ktk Tz ya Leo. Amen
huo ujinga sasaEe Mungu nakuomba ikiwezekana nichukue Mimi T.l abaki maana yeye anaitajika sana ktk Tz ya Leo. Amen
Akili zako zinawaza kiki tu muda.Hamtutoi kwenye swala la madini? Hizi ni mbinu zinazo tumiwa na maadui wa hii nchi.
Kama umesikiliza ile hotuba ya report za madini leo..hili suala la marisasi lilisemwa semwanaona kina ndungai wanajitekenya na kucheka wenyewew
AaamiinaDifficult to magine!!
Mungu wetu mwenye uweza wote tunakuomba yalinde maisha ya mtumishi wako ambaye watumishi wa shetani wanataka kutoa roho yake.
Waangamize wauaji na aliyewatuma kwa mkono wako mkuu na wenye mamlaka yote ili wakajue kuna mkuu kuliko wote, ambaye ni wewe Mungu wetu wa haki na uponyaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia wamagharibi ndio wanaoteka wasaniiBaada ya Rais wa urusi kuendelea kufanya kazi yake kwa umakini huku akiwazidi kete wamagaribi ,,, wamagaribi walianza Ku demonize Mr.Putin ili kuonekana ni Muuaji wa Wapinzani wake ...Wanasiasa Mashuhuri kama Akina BORIS NEMTSOV walipigwa Risas mchana kweupeeeeee Kama Political Sacrifice ili tu Putin aonekane nimuuaji wa wapinzani wake .
RAIS MAGUFULI ,,NI MCHAMUNGU ,,RAIS MAGUFULI NIRAIS ANAYEPENDA HAKI ,, NINA KATAAA KATA KATA ,,NADAIMA HILI TUKIO SIWEZI KULIUSIANISHA NA SERIKALI YANGU ... HII SERIKALI INAJIELEWA SANA NABADO TANZANIA HAIJAFIKIA HII HATUA .
NACHOAMIN WAMAGARIBI HAWANA RAFIKI ,, WAKO API AKINA SABHIMBI ????? KIBARAKA ALOTUMIWA NAWAMAGARIBI LKN NDIO HAO HAO WAKAMUUA ?????? .
HII NI NJIA YA WAMAGARIBU KUTAKA KUPATA SABABU ZA KUMDEMONIZE RAIS MAGUFUL NAMWISHO WASIKU AONEKANE MBAYA.
POLE SANA TUNDU LISU , POLE SANA MKE WAKO WATOTO NAFAMILIA NZIMA.
POLENI SANA WATANZANIA WOTE.