Mzee
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 13,602
- 5,809
"........Wafu ndo huwa hawaongei. ....Hawezi kutuziba midomo mpaka hapo tutakapo kufa...." Lisu Tundu
~~~>>>Hataki kukosolewa kwani yeye ni Mungu??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"........Wafu ndo huwa hawaongei. ....Hawezi kutuziba midomo mpaka hapo tutakapo kufa...." Lisu Tundu
Acha unafki mkuu mapambano yataendelea . Pita hivi.Mkuu bora uache siasa. Ndg zako tutakumiss bure
Anahamishiwa hospitali gani?
Kwenda wapi tena Mkuu?
Mwenyezi Mungu amtangulie apone haraka Mh. Tundu A. LissuMuda huu ndio amepakiwa kwenye ndege ila kwakweli bado yuko kwenye drip.
Ndege ilnayomchukua ni Jet ya kampuni ya Flight Link.
Ni bahati tu huu uwanja umewekwa taa hivi karibuni vinginevyo sijui ingekuwaje.
Nyie vipi sasa. Si mlishaleta picha ya chopa iliyompeleka huyo Lisu Nairobi. Sasa tena oh taa ndio zimewekwa bla bla bla. Tumuamini nani? Kila mtu anajifanya anajua kinachoendelea. Mara Kubenea na mchango sijui nini, duh.Muda huu ndio amepakiwa kwenye ndege ila kwakweli bado yuko kwenye drip.
Ndege ilnayomchukua ni Jet ya kampuni ya Flight Link.
Ni bahati tu huu uwanja umewekwa taa hivi karibuni vinginevyo sijui ingekuwaje.
Unafiki UPI mkuu? Wewe umelala kwako raha tuliii sisi tunauguza. Mtatuambia alikuwa shujaa pengo lake halizibiki.Acha unafki mkuu mapambano yataendelea . Pita hivi.
Punguza jazba!Nyie vipi sasa. Si mlishaleta picha ya chopa iliyompeleka huyo Lisu Nairobi. Sasa tena oh taa ndio zimewekwa bla bla bla. Tumuamini nani?
"huyo Lisu"Nyie vipi sasa. Si mlishaleta picha ya chopa iliyompeleka huyo Lisu Nairobi. Sasa tena oh taa ndio zimewekwa bla bla bla. Tumuamini nani? Kila mtu anajifanya anajua kinachoendelea. Mara Kubenea na mchango sijui nini, duh.
Sio jazba. Leteni habari inayoeleweka basi.Punguza jazba!
Ulitaka niseme yule Lisu?"huyo Lisu"
Najikuta nagugumia kuandika.
kwani mkuu alivyotolewa dodoma alipelekwa nairobi au muhimbili??Muda huu ndio amepakiwa kwenye ndege ila kwakweli bado yuko kwenye drip.
Ndege ilnayomchukua ni Jet ya kampuni ya Flight Link.
Ni bahati tu huu uwanja umewekwa taa hivi karibuni vinginevyo sijui ingekuwaje.
Taarifa inayoeleweka ni kwamba Mungu anampigania,yupo na ataendelea kuwepo hadi pale Mungu atakapoamua mwisho wake..Sio jazba. Leteni habari inayoeleweka basi.