LDA COMPANY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 340
- 622
Tuliza jazba kijana acha kumchafua rain wetu hawezi kufanya ujinga huoDikteta uchwara hachomoki hapa.ni hakika 100% anahusika.
Weka bunduki chini tubishane kwa hoja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliza jazba kijana acha kumchafua rain wetu hawezi kufanya ujinga huoDikteta uchwara hachomoki hapa.ni hakika 100% anahusika.
Weka bunduki chini tubishane kwa hoja.
Vipi makunyanzi usoni yote ya nini hayoo..!! Khaa.!Unamuuliza nani sasa? jishughulishe na usumbue akili funga safari uende kule kwa PK utakuja na majibu ya swali lako
Mkuu si unajua wachawi huwa wa kwanza kufika msibani!Unasema hayo kwa kuwa Rais amemuwahi kutoa pole au?
Vv
Hoja hujibiwa kwa hoja na si viojaHuna point.
Kweli kabisa waache kumchafua Rais. Rais wetu hahitaji cheap popularity kama hiyo. Kama ni kumwondoa Lissu sio kwa njia hiyo, angalia hata risasi zilivyopigwa inaonekana dhahiri kitendo kimefanywa na mtu/watu ambao hawana shabaha, hawana ujuzi wa hazi hiyo ndio maana wamepiga nyingi kwa woga woga tu. Watu acheni Jazba mwacheni Rais na vyhombo vya dola vifanye kazi. Mtakuja umbuka na jazba zetu. Rais tunakupenda, chapa kazi, hao wanaotaka kukupaka matope wataumbuka.Tuliza jazba kijana acha kumchafua rain wetu hawezi kufanya ujinga huo
kawafunika kuwasuta ccm wenzake ?Huko huko hosptali ndio tamaliziwa vizuri...
but nahisi hii ni kiki ya CHADEMA baada ya kuona Magufuli kawafunik na issue ya report ya bunge
Na wachawi huwa wapo hapohapo eneo la tukio, na huwa wa kwanza kutoa pole, hapo mkulu anatamani angekuwa anatoa salamu za rambirambi ila ndo hivyo ashafeli! cha msingi atubu dhambi zake kwa Mungu.Kutoa pole pekee siyo issue maana Hata wachawi hutoa pole [emoji108][emoji108]
Let's be serious,taifa la walalamikaji. Mambo yetu bado no magumu mbona tunashupaza shingo kwa mambo ya majirani? Mara PK mara UJK, hii hali yetu tunapambana nayo vipi jamani.Namwombea Uzima Lisu na Ulinzi kwa wazalendo wengine wasimamao kwa haki za Watanzania.
Ninaomba kufahamishwa kutoka kwa wanaomfahamu PK.
Naye huwa anatoa matamko baada ya kuangamiza wanaomchallenge?
Kisha huwa anadhibiti media na watu wengine wanaotaka kufanya lolote kuonyesha hisia za uchungu walionao?
Vipi labda kuhusu mikusanyiko ya wapaza sauti? Huwa inaaruhusiwa kule?
Naomba kujua kwa ufahamu tu kwa kuwa tuko katika utandawazi.
Acha uzuzu.... Kwan umelizwa we?? Shobo tuUnamuuliza nani sasa? jishughulishe na usumbue akili funga safari uende kule kwa PK utakuja na majibu ya swali lako