DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Daah kwa kweli sijui ni mimi tu au kuna wengine wamepatwa na hali ya wasiwasi kama mimi.
Ni kwamba hivi sasa nafsi na akili haijatulia kabisa, nimejikuta nikimlilia sana kwa uchungu huyu kamanda wetu aliye Nairobi hospital!
Nimekumbuka mengi na umahiri wake, nimetafuta clips zake kadhaa na kuziangalia nikajikuta nimepata majonzi makubwa!
Nimeangalia hata baadhi ya mahojiano aliyokuwa akiyafanya mahakamani pale alipokuwa akiwatetea wateja wake au kujitetea mwenyewe na kuona jinsi alivyokuwa akiuliza maswali ya nguvu daah![emoji18][emoji18]...
Hicho kikombe alichokibeba sijui atakiepukaje...[emoji120][emoji120]
Ee Mwenyezi Mungu mponye mtumishi wako huyu nao wale watesi wake watambue hakika dhuluma haiwezi kuishinda haki!
[emoji120][emoji120]
 
Lumumba wanakwambia lissu kajipiga risasi kutafuta kiki

Lexus Mayai
 
MIMI SIAMINI KAMA LISU KAPIGWA RISASI KWELI INAWEZEKANA ZILE NI RISASI ZA PLASTIKI AMEIGIZA ILI KUJIPATIA UMAARUFU NDIO MAANA CHADEMA WAKAMKIMBIZA NAIROBI WALIJUA WAKIMPELEKA MUHIMBILI DILI LAO LITAJULIKANA
Non sense..
 
Baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani, ndani ya muda mfupi amejaribu kuonyesha kwamba ni kiongozi ambae anataka mabadiliko makubwa ya kiuchumi yatokee Tanzania.
Ili mabadiliko haya yaweze kuleta matokeo chanya, rais Magufuli alianza kwa kurudisha imani ya serikali kwa kudhibiti watumishi wazembe, aliminya mianya ya upotevu wa mapato ya serikali, kudhibiti biashara haramu ya dawa za kulevya, na mengine mengi mazuri ya kuhakikisha nchi inakua na fedha za kutosha kuinua uchumi wetu .

Kazi hii imefanya Rais Magufuli kukubalika dunia nzima kwa utendaji ulio bora kabisa, na kua mfano wa kuigwa na Kila nchi duniani.

Rais Magufuli amejaribu kufanyia Kazi karibu malalmiko mengi ya Watanzania, ambayo wapinzani wameyapigia kelele kwa muda mrefu Sana.

Cha kushangaza baada ya Rais Magufuli kuchukua hatua dhidi ya waovu wa raslimali za Watanzania kwa ujasiri mkubwa Sana bila woga , baadhi ya raia wameanza kuhakikisha emergy ya Rais Magufuli ndani na nje ya nchi, kwa maana ya jumuia za kimataifa inaporomoka.

Ndani ya nchi, hujuma ni nyingi kwa Lengo la kumuondolea Imani kubwa walionayo Watanzania kwake.

Uovu huu unaelekezwa mojakwamoja kwake bila kuvipa nafasi vyombo vyetu vya ulinzi vya kikatiba kufanya uchunguzi, ni kosa linalohitaji kukemewa.
Wanasiasa wamekua ni mabingwa wa matamko Kila wakati kwa Lengo la kuiondelea Imani serikali kwa wananchi na jumuia za kimataifa,

kipa umbele chao ni kuomba jumuia za kimataifa kuinyima misaada nchi, ikumbukwe tukinyimwa misaada au kuwekewa vikwazo mtu wa Mwisho Kuumia atukua ni Rais Magufuli.

Sisi wananchi ndo wa kwanza kupata tabu na madhira ya Kila aina.

Sasa basi kwa vile Wengi ya Watanzania wanaelewa dhamira ya dhati ya Rais Magufuli katika kukuza uchumi wetu, wanaanza kupuuza dhamira hii ovu ya baadhi Watanzania waliojificha kwenye siasa na democracy.

Jambo la hovyo ambalo limekua ni kimbilio la baadhi ya Wanasiasa ni Kila tukio lolote litokeapo la kihalifu, japo Matukio Haya ni ya muda nchini mwetu, ispokua hayakupewa tension kama kipindi hiki, wamekua wepesi haraka Sana kuiongelea Tanzania kwa kutumia media za kimataifa, kwa maana wanashitaki kwa wazungu.

La kushangaza wale wanaowapelekea malalamiko wana mabarozi hapa nchini mwetu, na ndo Kila taarifa, mataifa hayo hutegemea mabarozi wanaowakilisha nchi zao. Na Mara nyingi Ukweli wanaujua na siasa zetu za maji taka wanazijua pia.

( Mwisho)

Wale ambao mlisema Uhuru Kenyatta ni baba wa Demokrasia barani afrika na champion wa Marais wote east afrika, Endeleeni kuamini hivyo. Kauri zake zinathibitisha ni jinsi gani mlivyo na papara kwa Kila jambo, kwa Sasa mpo kimya!

Magufuli songa mbele mkuu, waingereza wanamsemo kama sikosei,usemao "time and tide wait for no man"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mtu aliyetenda unyama huu amelifedhehesha taifa letu na kulipaka doa jeusi la milele. Lisu kama Rais wa TLS anaingia katika fikra na mawazo ya wanasheria wote duniani na kuacha kumbukumbu ktk medula oblongata zao ambayo haitafutika. Lisu kama mbunge unyama ule unaingia ktk fikra za wabunge wote wanaompenda na wasiompenda na kuweka kumbukumbu ya kihistoria ktk vichwa vyao hata kama sasa wanajibaraguza. Lisu kama mwanasiasa anaiingiza nchi ktk historia mpya pamoja na kwamba kuna wanasiasa waliokufa vifo vyenye utata, lakini huyu Lisu amemiminiwa risasi nyingi tena katikati ya mchana wa jua kali. Lisu kama mwananchi kumwagika kwa damu yake kutajadiliwa kwa muda mrefu na wananchi iwe positively ama negatively na hili si jambo jema kwa mustakabali wa kizazi cha leo na kijacho. Tuliwahi ambiwa huko nyuma ' za kuambiwa changanya na za kwako' na mimi nasema hivi mbele za Mungu kila mtu atatoa hesabu ya kazi yake mwenyewe. Tanzania kama taifa yatupasa tupendane na kutakiana amani, ahsante!
Bahati mbaya ndugu aliyetenda huo uovu leo alitengeneza sinema nyingine na akawahi hospitali Lugalo kutoa pole...Mwalimu Nyerere alishasema ukishakula nyama ya mtu hutaacha, utaendelea tu kula!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
MIMI SIAMINI KAMA LISU KAPIGWA RISASI KWELI INAWEZEKANA ZILE NI RISASI ZA PLASTIKI AMEIGIZA ILI KUJIPATIA UMAARUFU NDIO MAANA CHADEMA WAKAMKIMBIZA NAIROBI WALIJUA WAKIMPELEKA MUHIMBILI DILI LAO LITAJULIKANA
tapatalk_1505194029961.jpeg
tapatalk_1500539427896.jpeg
tapatalk_1498659698128.jpeg
IMG_-t6v3b4.jpg

May Allah bless Me and You
 
Baada ya Rais Magufuli kuingia madarakani, ndani ya muda mfupi amejaribu kuonyesha kwamba ni kiongozi ambae anataka mabadiliko makubwa ya kiuchumi yatokee Tanzania.
Ili mabadiliko haya yaweze kuleta matokeo chanya, rais Magufuli alianza kwa kurudisha imani ya serikali kwa kudhibiti watumishi wazembe, aliminya mianya ya upotevu wa mapato ya serikali, kudhibiti biashara haramu ya dawa za kulevya, na mengine mengi mazuri ya kuhakikisha nchi inakua na fedha za kutosha kuinua uchumi wetu .

Kazi hii imefanya Rais Magufuli kukubalika dunia nzima kwa utendaji ulio bora kabisa, na kua mfano wa kuigwa na Kila nchi duniani.

Rais Magufuli amejaribu kufanyia Kazi karibu malalmiko mengi ya Watanzania, ambayo wapinzani wameyapigia kelele kwa muda mrefu Sana.

Cha kushangaza baada ya Rais Magufuli kuchukua hatua dhidi ya waovu wa raslimali za Watanzania kwa ujasiri mkubwa Sana bila woga , baadhi ya raia wameanza kuhakikisha emergy ya Rais Magufuli ndani na nje ya nchi, kwa maana ya jumuia za kimataifa inaporomoka.

Ndani ya nchi, hujuma ni nyingi kwa Lengo la kumuondolea Imani kubwa walionayo Watanzania kwake.

Uovu huu unaelekezwa mojakwamoja kwake bila kuvipa nafasi vyombo vyetu vya ulinzi vya kikatiba kufanya uchunguzi, ni kosa linalohitaji kukemewa.
Wanasiasa wamekua ni mabingwa wa matamko Kila wakati kwa Lengo la kuiondelea Imani serikali kwa wananchi na jumuia za kimataifa,

kipa umbele chao ni kuomba jumuia za kimataifa kuinyima misaada nchi, ikumbukwe tukinyimwa misaada au kuwekewa vikwazo mtu wa Mwisho Kuumia atukua ni Rais Magufuli.

Sisi wananchi ndo wa kwanza kupata tabu na madhira ya Kila aina.

Sasa basi kwa vile Wengi ya Watanzania wanaelewa dhamira ya dhati ya Rais Magufuli katika kukuza uchumi wetu, wanaanza kupuuza dhamira hii ovu ya baadhi Watanzania waliojificha kwenye siasa na democracy.

Jambo la hovyo ambalo limekua ni kimbilio la baadhi ya Wanasiasa ni Kila tukio lolote litokeapo la kihalifu, japo Matukio Haya ni ya muda nchini mwetu, ispokua hayakupewa tension kama kipindi hiki, wamekua wepesi haraka Sana kuiongelea Tanzania kwa kutumia media za kimataifa, kwa maana wanashitaki kwa wazungu.

La kushangaza wale wanaowapelekea malalamiko wana mabarozi hapa nchini mwetu, na ndo Kila taarifa, mataifa hayo hutegemea mabarozi wanaowakilisha nchi zao. Na Mara nyingi Ukweli wanaujua na siasa zetu za maji taka wanazijua pia.

( Mwisho)

Wale ambao mlisema Uhuru Kenyatta ni baba wa Demokrasia barani afrika na champion wa Marais wote east afrika, Endeleeni kuamini hivyo. Kauri zake zinathibitisha ni jinsi gani mlivyo na papara kwa Kila jambo, kwa Sasa mpo kimya!

Magufuli songa mbele mkuu, waingereza wanamsemo kama sikosei,usemao "time and tide wait for no man"

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani umetumia muda wako mwingi kuandika pumba zote hizi?

Shuleni ulienda kusomea ujinga?
 
MIMI SIAMINI KAMA LISU KAPIGWA RISASI KWELI INAWEZEKANA ZILE NI RISASI ZA PLASTIKI AMEIGIZA ILI KUJIPATIA UMAARUFU NDIO MAANA CHADEMA WAKAMKIMBIZA NAIROBI WALIJUA WAKIMPELEKA MUHIMBILI DILI LAO LITAJULIKANA
Kwahiyo chadema ndo waliomfanyia upasuaji pale Dodoma na kutoa ripoti kwa serikali.? Risasi za plastic zaweza toboa gari? Akili zingine bwana..
.. Tuache mzaha kwenye maisha ya watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisaaaaa..
Ngoja nirudi kumalizia kusoma.
Magufuli 2020.

Magufuli oyeeeeee
 
Back
Top Bottom