DODOMA: Tundu Lissu ajeruhiwa kwa risasi, akimbizwa Hospitali

Moja kati ya vitu ambavyo Samia angejipatia "credit " kwa kujitofautisha na kuonyesha serikali haikuwa na mkono wake kwenye hili tukio basi ilikuwa ni washambulizi kupatikana na kufunguliwa mashtaka.

Lakini hadi leo hakuna CCTV footage, maganda ya risasi, na forensic evidence yoyote kuhusu tukio hili.

Badala yake hata Lissu stahiki zake hakulipwa miaka 7 sasa badala yake anatumwa Abdul kwenda kumuhonga akae kimya.
 
Samia hahitaji Credit yoyote zaidi ya kuuza rasilimali zote za Tanganyika na kuteka viongozi wa Chadema
 
Tanzania ina intelijensia kali sana kumbe ni intelijensia ya kudukua mawasiliano ya watu.Hivi kama kampuni kubwa kama Tigo inauza data za watumiaji je nyie Jamii forum tutawaamini kweli??????????????
 
Kuchunguza zaidi Tigo wanahusika
Kitu ambacho Watu wengi Sana hapa tz hawakijui ni kwamba haya makampuni ya simu baadhi ya wamiliki wake (shareholders) ni mawakala wa siri(Active Members) wa wale jamaa wa pale makumvusho.
 
Back
Top Bottom