Ibambasi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2007
- 9,296
- 4,697
Tumewapigia kura za ubunge wagombea wa vyama vyore vilivyoshiriki, CCM wamepata wabunge wengi sana, CUF 1 na CDM 1. Demokrasia imetamalakiKikao cha watu wa chama fulani!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tumewapigia kura za ubunge wagombea wa vyama vyore vilivyoshiriki, CCM wamepata wabunge wengi sana, CUF 1 na CDM 1. Demokrasia imetamalakiKikao cha watu wa chama fulani!!
Kisukari ni ugonjwa hatari sana.Mkutano wa kwanza wa Bunge la 12 umeanza rasmi leo Novemba 10, 2020, jijini Dodoma, ambapo moja ya shughuli zinazofanyika kwa sasa ni zoezi la kumchagua Spika wa Bunge.
Wanaogopa hadi kivuli chaoUoga wa Magu. Bunge hadaa
Hapo ndiyo watakuwa wanafurahia sana.Kikao cha watu wa chama fulani!!
Hata aibu hawaoniHilo sio bunge, bali ni mkutano wa ccm uliojigeuza bunge kwa kunajisi box la kura na umwagaji damu.
Labda mbunge wenu wa Nkasi90%!!? Ina maana kuna wengine wamemkataa?
Mipango ya Mungu aingiliwi,wenye afya njema wanakata moto ghafla,wagonjwa na wenye maradhi wanapeta.Huyo na afya yake hatoboi miaka 5!
Ha haaa ngoja nikuunge mkono kucheka ingawa sijui nini kinatuchekesha.Nilipomuona Tale na Gwajima nimejikuta nacheka Sana .[emoji23][emoji23] Bunge letu
Kwa hiyo mbunge mmoja ndiyo 10%?Labda mbunge wenu wa Nkasi
Uoga wa Magu. Bunge hadaa