Dodoma: Ufunguzi wa Bunge la 12, Ndugai asema Bunge hilo halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani

Dodoma: Ufunguzi wa Bunge la 12, Ndugai asema Bunge hilo halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani

Mgombea Uspika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amepata kura za NDIO asilimia 99.7%, ambapo kati ya kura zote zilizopigwa, kura ya HAPANA ilikuwa moja.
 
Kwani spika anapigiwa kura!? Si amepita bila kupingwa!?
 
Kikao cha watu wa chama fulani!!
Tuna nini sasa kama unasema hatuna bunge?
Angalia ukisononeka sana unaweza kupata heart attack ndugu, hebu ruhusu maisha yaendelee maana hamna namna nyingine.
 
Hongera CCM na Jemedari Magufuli kutuondolea wale wahujumu nchi, matapeli wa kisiasa, pinga pinga, wazushi, wachochezi, na wafitini wakubwa.
Kuna siku utaijutia hii kauli yako na kusema bora bunge lingekuwa mseto
 
Kila kitu kimepangwa. Hata hiyo kura moja ya hapana imepangwa. Yaani ukisikia watu wazima hovyo, ndio hawa.

Yanapoteza hela za Watanzania bure eti kufanya uchaguzi huku yakiwa na matokeo mfukoni! Miezi 2 yanazunguka nchi na kupanda majukwaani huku yakiwa na matokeo mfukoni. Hawastahili hata kuongoza familia zao.
Mgombea Uspika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amepata kura za NDIO asilimia 99.7%, ambapo kati ya kura zote zilizopigwa, kura ya HAPANA ilikuwa moja.
 
Jana mkuu alisema spika ni yuleyule na naibu spika ni yuleyule. Hakuna haja ya Bunge. Magufuli anatosha kuendesha nchi. Hilo bunge ni kumaliza pesa za wananchi bure. Mkuu ungewapunguzia posho na hizo pesa uwapelekee maji wale waliokuwa wanalia wakati wa kampeni.
 
Back
Top Bottom