Dodoma: Ufunguzi wa Bunge la 12, Ndugai asema Bunge hilo halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani

Dodoma: Ufunguzi wa Bunge la 12, Ndugai asema Bunge hilo halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani

Wanashauriwa wabunge wawe makini sana kwenye kukopeshana... maana inainekana kuna kusumbuana sana kulitokea bunge lilopita...




Cc: mahondaw
 
Acha wakae wenyewe BUNGE LA CCM sio la JMT, litakosa mvuto wengi watalipuuzia. Wamepoka haki na sauti ya unna. Rafiki yangu mmoja ndan ya hilo bunge, aliniambia tutakuwa ni wa kusaini na kuchukua posho tu, maake ukikamua ndan bila kuunga mkono hoja unashughulikiwa. Anasema bora wapinzani walikuwa wanawasogozea wanasemea hoja zao
 
Sijafahamu kwanini wanapiga kura wakati hana mpinzani zaidi ni wao watupu ,tatizo la kudanganyana linapoota mizizi ni hatari.
 
naam kumekucha:
speaker kabla ya kuapisha wabunge awasisitiza kua wabunge wasiwe kimya waseme ili wasikike na vyombo vya habari waripoti na bunge lionekane.

la kujiuliza kwa nini bunge lilopita walikataza na kuzuia lisiwe live ?

jee ili dhana ya kua kuonesha bunge kutawafanya wananchi wasifanye kazi imeisha ?
Lunatics mind. Wehu kabisa mataga
 
Hilo Bunge ama vikao za CCM vya kupika majungu na kujikombeleza kwa mwenyekiti wao!!
 
Teh teh teh kikao cha chama kwani .wana oneana aibu kuongea
 
Back
Top Bottom