Dodoma: Ufunguzi wa Bunge la 12, Ndugai asema Bunge hilo halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani

Dodoma: Ufunguzi wa Bunge la 12, Ndugai asema Bunge hilo halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani

Bac sawa...tumieni na marumbeta kulitangaza!!
 
Mbowe kafurahi Sana kuondoka kwa Lisu na Lema ruzuku ataila peke yake
 
Eeeeh mungu baba Mimi TEAM 666 sikunikaaa nikiangalia bunge hata kwasekunde 10 naomba uukatishe uhai wangu hapo hapo.
 
Hilo nalikataaa kabisa ubavu wa kumkosoa mwenyekiti wao hawana kabisa hasa ukizingatia yeye ndiye amewapa ubunge huo
 
Naam, kumekucha!

Spika kabla ya kuapisha wabunge awasisitiza kuwa wabunge wasiwe kimya waseme ili wasikike na vyombo vya habari waripoti na Bunge lionekane.

La kujiuliza, kwanini bunge lilopita walikataza na kuzuia lisiwe live?

Je, ile dhana ya kuwa kuonesha Bunge kutawafanya wananchi wasifanye kazi imeisha?
Ni kwamba bunge lina mamlaka yake kwayo kama mwanzo walikataza leo wameamua liwe live ondoa shaka
 
Safi sana Nimemuona Mbunge wangu Aida Khenani wa Nkasi kaskazini akiapa, tuwakilishe vyema
 
Wabunge waiseme serikali ya Mheshimiwa Magufuli ?
hakuna mbunge hata mooja atakethubutu kuikosoa serikali,ukizingatia hakuna hata mmoja alieshinda kwa ubavu wake.
Aida pia hakushinda kamanda?.
 
Mwambie Ndugai hakuna mtanzania anayejielewa atalitazama hilo bunge la maigizo.

Aache kujikosha.
 
Back
Top Bottom