Tunutu maharajy
Senior Member
- Sep 20, 2020
- 109
- 30
Watanzania sio wewe peke yako tutalitizama kama kawaidaMwambie Ndugai hakuna mtanzania anayejielewa atalitazama hilo bunge la maigizo.
Aache kujikosha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania sio wewe peke yako tutalitizama kama kawaidaMwambie Ndugai hakuna mtanzania anayejielewa atalitazama hilo bunge la maigizo.
Aache kujikosha.
Nakuzidi uthubutu na kuchukua hatua,wewe unalalamika zaidi kuliko mimi ninaetafuta pesa kwa bidii ili ninunue mfuko wa simenti elfu 30.Hadi sasa umenizidi nini kama ni bei ya cementi inatuhusu wote think bigger.
Wabunge wa CUF na CHADEMA ? AU mbungeWabunge wa CUF na Chadema mbona wamehudhuria pia
Unajua sababu zilizofanya bunge lisiwe live?Ni kwamba bunge lina mamlaka yake kwayo kama mwanzo walikataza leo wameamua liwe live ondoa shaka
Yaani haina tofauti na kutuletea habari za baraza la madiwani wa bariadi, Bunge halina mvuto, sitaki hata kulisikiaHatuna Bunge hapo.
Mkutano wa kwanza wa Bunge la 12 umeanza rasmi leo Novemba 10, 2020, jijini Dodoma, ambapo moja ya shughuli zinazofanyika kwa sasa ni zoezi la kumchagua Spika wa Bunge.
Moja ya kazi za kwanza za vikao vya mwanzo vya mkutano huu itakuwa ni kumchagua Spika wa Bunge, Naibu wake pamoja na kuthibitisha jina la Waziri Mkuu litakalowasilishwa mbele yao na Rais Magufuli, kama Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inavyoelekeza.
Pia baada ya kuchaguliwa Spika anatarajiwa kufanya kazi ya kuwaapisha wabunge, na inatarajiwa pia wiki hii Rais Magufuli atalizindua Bunge hili la 12, kabla halijaanza rasmi majukumu yake kwa mujibu wa Katiba ya Tanzania.
================
Wakati vikao vya Bunge la 12 la Tanzania vikianza leo jijini Dodoma, bunge hilo litakuwa na muundo tofauti kidogo na Bunge la 11, ambapo katika bunge la sasa hakutakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani.
Hayo yamesema na mgombea wa nafasi ya Spika wa Bunge, Job Ndugai wakati akinadi sera zake mbele ya wabunge na kuwaomba kumchagua ashike nafasi hiyo kwa kipindi cha pili.
“… hatutakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani kwa kuwa hawataweza kutimiza asilimia 12.5 ambayo ipo katika kanuni yetu,” amesema Ndugai.
Akijibu swali la Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenani (CHADEMA), Ndugai amesema licha ya kambi hiyo kutokuwepo, wabunge wa CCM ambao wengi ni vijana kwa kushirikiana na ofisi ya spika, watawatendea haki wabunge wa upinzani.
Vyama vya upinzani vilipata jumla ya wabunge nane (CHADEMA 1, ACT Wazalendo 4 na CUF 3) katika uchaguzi mkuu uliofanyoka Oktoba 28 mwaka huu. Pia, kutokana na idadi kubwa ya kura za wabunge, CHADEMA imepata nafasi ya kuteua wabunge 19 wa viti maalum, hata hivyo chama hicho hakijafanya uteuzi huo.
Endapo CHADEMA itateua wabunge hao, jumla ya wabunge wa upinzani bungeni watakuwa 27, lakini sisipowateua, wabunge wa upinzani watakuwa nane, idadi ambayo ni ndogo sana ikilinganishwa na bunge lililopita.
Katika mkutano wa kwanza wa bunge uliaoanza leo mambo kadhaa yanatarajiwa kufanyika ikiwa ni pamoja na kuthibitisha uteuzi wa waziri mkuu, kuchagua spika na naibu spika, kiapo cha uaminifu kwa wabunge na kusomwa kwa tangazo la Rais la kufungua bunge.
CUF Ina wabunge watatu wawili toka Zanzibar mmoja bara wote wameenda Chadema Ina mbunge mmoja kaenda ACT wazalendo Wana wanne kutoka Zanzibar wote wameendaWabunge wa CUF na CHADEMA ? AU mbunge

Uliza internet ipoHongera CCM na Jemedari Magufuli kutuondolea wale wahujumu nchi, matapeli wa kisiasa, pinga pinga, wazushi, wachochezi, na wafitini wakubwa.
Sababu tu Mbowe na Lisu hawakushinda?Mwambie Ndugai hakuna mtanzania anayejielewa atalitazama hilo bunge la maigizo.
Aache kujikosha.
Natamani watunge na sheria ya kumlazimisha kila mtu kutazama Bunge likiwa live. Asiyetazama achapwe viboko na faini juu,Naam, kumekucha!
Spika kabla ya kuapisha wabunge awasisitiza kuwa wabunge wasiwe kimya waseme ili wasikike na vyombo vya habari waripoti na Bunge lionekane.
La kujiuliza, kwanini bunge lilopita walikataza na kuzuia lisiwe live?
Je, ile dhana ya kuwa kuonesha Bunge kutawafanya wananchi wasifanye kazi imeisha?
Fahamu kwamba sasa tuko uchumi wa Kati kwayo pesa tunazo wenyewe imeamuliwa liwe live usihofu kwa hiloUnajua sababu zilizofanya bunge lisiwe live?
1.Gharama za kurusha live walisema ni kubwa,kuna taasisi binafsi zilijitolea kugharamia lakini wakakataa!
2.Wakasema ni muda wa kazi hivyo likiwa live wananchi wataacha kufanya kazi na kuangalia bunge!
Swali la msingi hapa,je,kwenye hizo sababu zilizotolewa kabla na waziri wa habari Nape Nnauye zimebadilika?
Kwanini watanzania mnafanywa wapumbav nanyi mnashangilia bila kufikiria?
Ndio maana mnaonekana wajinga kama sio maiti!
Vichaa wamepewa runguNaam, kumekucha!
Spika kabla ya kuapisha wabunge awasisitiza kuwa wabunge wasiwe kimya waseme ili wasikike na vyombo vya habari waripoti na Bunge lionekane.
La kujiuliza, kwanini bunge lilopita walikataza na kuzuia lisiwe live?
Je, ile dhana ya kuwa kuonesha Bunge kutawafanya wananchi wasifanye kazi imeisha?
Kwa akili hizi ndio maana wanasema mtaji wa CCM ni wajinga na masikini!Fahamu kwamba sasa tuko uchumi wa Kati kwayo pesa tunazo wenyewe imeamuliwa liwe live usihofu kwa hilo