Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Inawezekana ikawa ya kwake mwenyewe. Kuepuka 100%
Amandla...
Amandla...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja na kuwa mmewaondoa bado Chadema itaendelea kutawala mijadala bungeni.Majizi chadema wanasemaje?
Hatuna nchi hapa!! Maskini Tanzania yangu.Wataruhusu na Bunge live kama tulivyotabiri.
Ha ha haaa 🤣🤣🤣🤣🤣Inawezekana ikawa ya kwake mwenyewe. Kuepuka 100%
Amandla...
Wenzako wako bungeni wewe ni mshikilia pembe unaendelea kujaza page humu JF.wamepoteana,kila kamanda anaongea lugha yake.
Waziri Mkuu watamthibitisha kwa 105%.Kila kitu kimepangwa. Hata hiyo kura moja ya hapana imepangwa. Yaani ukisikia watu wazima hovyo, ndio hawa.
Yanapoteza hela za Watanzania bure eti kufanya uchaguzi huku yakiwa na matokeo mfukoni! Miezi 2 yanazunguka nchi na kupanda majukwaani huku yakiwa na matokeo mfukoni. Hawastahili hata kuongoza familia zao.
"Duniani kote hakuna bunge laivu""Bunge lazima lionekane"
Ndugai
Waziri Mkuu watamthibitisha kwa 105%.
Hatuna Bunge hapo.
ndio iwe 10% ya hapana?Labda mbunge wenu wa Nkasi
Mbona mnatuchanganya? 90.7 au 99.7?Mgombea Uspika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amepata kura za NDIO asilimia 99.7%, ambapo kati ya kura zote zilizopigwa, kura ya HAPANA ilikuwa moja.