Dodoma: Ufunguzi wa Bunge la 12, Ndugai asema Bunge hilo halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani

Dodoma: Ufunguzi wa Bunge la 12, Ndugai asema Bunge hilo halitakuwa na Kambi Rasmi ya Upinzani

Wabunge kazi yao sasa ni kusifu tu kwa kazi nzuri anazofanya mheshimiwa raisi. Poleni sana maana amani ya mioyo imetoweka ghafula bila kujua.
 
CHADEMA wawaruhusu walipambana 19 ni wengi sana wawape nafasi
Wanaweza kuwa na msaada
 
Kila kitu kimepangwa. Hata hiyo kura moja ya hapana imepangwa. Yaani ukisikia watu wazima hovyo, ndio hawa.

Yanapoteza hela za Watanzania bure eti kufanya uchaguzi huku yakiwa na matokeo mfukoni! Miezi 2 yanazunguka nchi na kupanda majukwaani huku yakiwa na matokeo mfukoni. Hawastahili hata kuongoza familia zao.
Waziri Mkuu watamthibitisha kwa 105%.
 
Wanakwenda kula tu posho za bure, Hakuna jipya litakaloenda kujadiliwa huko la kumsaidia Mtanzania
 
Kinachosikitisha ni watanzania kufanywa wajinga na wao kukubali mara zote!Kweli nchi hii zinaongozwa maiti!

Wakiweka bunge live inapaswa wananchi waihoji serikali,sababu zilizotolewa bunge kuzimwa zilikuwa halali au ulaghai?

Tuliambiwa mambo mawili:
1.Gharama
2.Muda wa kazi na watu wanapaswa kufanya kazi badala ya kuangalia bunge!
 
KWANA WEWE ACHA KULETA STORY ZA UONGO, HAPA NDO KURA ZINAENDA KUHESABIWA SASA 1127AM

Hope BUNGE LIVE LIMERUDI na linaweka historia ifuatayo
  1. Bunge lisilokuwa na hamu ya kuangalia
  2. Bunge la kupiga makofi tu
  3. Bunge la kusinzia na kulala
  4. Bunge ambalo halina jipya
  5. Bunge ambalo halina innovation wala cretivity
  6. Bunge la chama kimoja
  7. Bunge la business as usual
  8. Bunge ambalo halina changamoto
  9. Bunge la kuongozwa na raisi wa nchi
  10. Bunge ambalo halina jipya chini ya jua
  11. Bunge la hovyo kabisa kuwa na record ya wabungw 2 wa upinzani toka Tz bara
  12. Bunge lililozalishwa kwa kura za wizi
  13. Bunge ambalo hawana fahara wala ari ya kuchaguliwa
  14. Bunge ambalo halita ladha yeyote
  15. Bunge lililopoa kama maji yaliyo lala miaka 10
  16. Ongeza za kwako na wewe
 
Mgombea Uspika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amepata kura za NDIO asilimia 99.7%, ambapo kati ya kura zote zilizopigwa, kura ya HAPANA ilikuwa moja.
Mbona mnatuchanganya? 90.7 au 99.7?
 
Back
Top Bottom