Ikiwa ni vikwazo kwaajili ya mapambano yake ya Ushoga na Utumiaji wa Madawa ya Kulevya. Basi kaonewa na mfumo.Mwacheni makonda wa watu
Kwa mtu yoyote mwenye mawazo ya mbali Marekani ni kama HijaKumbe kweli amezuiwa? Maswali najiuliza kwani alikuwa na mpango wa kwenda huko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ya kuchunguza tuhuna anazohusishwa nazo makonda,(Ben,Gwanda,pyu pyu,......nk)Msigwa naye tume ya nini sasa!
Wacheni kusema uongo makonda amezuiwa kwa kutoa uhai wa watu kama ni ishu ya usho mbona Uganda hawajaekewa vikwazo na Uganda wasenge wanauliaIkiwa Kapigwa Stop kwa sababu ya Uhusikaji wake dhidi wa Upinzani, uonevu na utumiaji wa Ofisi vibaya ...... Wacha aisome namba.Ikiwa ni vikwazo kwaajili ya mapambano yake ya Ushoga na Utumiaji wa Madawa ya Kulevya. Basi kaonewa na mfumo.
Wacheni kusema uongo makonda amezuiwa kwa kutoa uhai wa watu kama ni ishu ya usho mbona Uganda hawajaekewa vikwazo na Uganda wasenge wanaulia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikiwa Kapigwa Stop kwa sababu ya Uhusikaji wake dhidi wa Upinzani, uonevu na utumiaji wa Ofisi vibaya ...... Wacha aisome namba.Ikiwa ni vikwazo kwaajili ya mapambano yake ya Ushoga na Utumiaji wa Madawa ya Kulevya. Basi kaonewa na mfumo.
Ha! Ha! Ha! Ha! Hawaamini majirani zao wakiwa peke yao.Msigwa naye tume ya nini sasa!
Kumbe kweli amezuiwa? Maswali najiuliza kwani alikuwa na mpango wa kwenda huko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mawaziri wanamuogopa Makonda!
Paul Makonda msukuma wa Kolomije anawatikisa taifa Kubwa Marekani na kupoteza muda wao kumjadili.
Shame on USAView attachment 1346371
Sent using Jamii Forums mobile app