February 4, 2020
Dodoma, Tanzania
Viwanja vya Bungeni: Wabunge watoa maoni zuio la Marekani
Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania Mhe.Constantine Kanyasu azungumza kuhusu zuio la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda, kwenda nchini Marekani na kusema haliwezi kuathiri Sekta ya Utalii kutokana na kuwepo kwa mikataba ya masuala ya Utalii baina ya Tanzania na Wamarekani na kuwa jambo linaloendelea kwa Sasa litamalizwa kidiplomasia. Mbunge Peter Msigwa ashauri serikali iunde kamati ili kuweza kujadili hatua hiyo ya kihistoria ambayo haijawahi kutokea.
Source: CLOUDSMEDIA