Dodoma: Wabunge wanena kuhusu zuio la Marekani kwa Makonda

Dodoma: Wabunge wanena kuhusu zuio la Marekani kwa Makonda

bagamoyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
24,941
Reaction score
28,869
February 4, 2020
Dodoma, Tanzania

Viwanja vya Bungeni: Wabunge watoa maoni zuio la Marekani

Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania Mhe.Constantine Kanyasu azungumza kuhusu zuio la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda, kwenda nchini Marekani na kusema haliwezi kuathiri Sekta ya Utalii kutokana na kuwepo kwa mikataba ya masuala ya Utalii baina ya Tanzania na Wamarekani na kuwa jambo linaloendelea kwa Sasa litamalizwa kidiplomasia. Mbunge Peter Msigwa ashauri serikali iunde kamati ili kuweza kujadili hatua hiyo ya kihistoria ambayo haijawahi kutokea.



Source: CLOUDSMEDIA
 
Ikiwa Kapigwa Stop kwa sababu ya Uhusikaji wake dhidi wa Upinzani, uonevu na utumiaji wa Ofisi vibaya ...... Wacha aisome namba.
Mwacheni makonda wa watu
Ikiwa ni vikwazo kwaajili ya mapambano yake ya Ushoga na Utumiaji wa Madawa ya Kulevya. Basi kaonewa na mfumo.
 
Ikiwa Kapigwa Stop kwa sababu ya Uhusikaji wake dhidi wa Upinzani, uonevu na utumiaji wa Ofisi vibaya ...... Wacha aisome namba.Ikiwa ni vikwazo kwaajili ya mapambano yake ya Ushoga na Utumiaji wa Madawa ya Kulevya. Basi kaonewa na mfumo.
Wacheni kusema uongo makonda amezuiwa kwa kutoa uhai wa watu kama ni ishu ya usho mbona Uganda hawajaekewa vikwazo na Uganda wasenge wanaulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mserikali anaongea Kwa umakini na weredi mkubwa.

Ila swali ni kama Raia wanajua jamaa anatishia kukwapua uhai wa watu, na bado akabaki kuendelea kuwa msimamia ulinzi na usalama wa jiji wanapofikia bado Kuna kashida.
Labda kama hao jamaa huwa hawafuatilii haya masihasa yetu
 
Ikiwa Kapigwa Stop kwa sababu ya Uhusikaji wake dhidi wa Upinzani, uonevu na utumiaji wa Ofisi vibaya ...... Wacha aisome namba.Ikiwa ni vikwazo kwaajili ya mapambano yake ya Ushoga na Utumiaji wa Madawa ya Kulevya. Basi kaonewa na mfumo.

Acheni upumbavu nyie! Nani kasema kazuiwa sababu ya ushoga? US wamesema ni mtu anayejihusisha pamoja na mengine ni uuaji.
Mtu muuaji ana haja ya kurembaremba? Huyo alistahili hata kushushwa pale Kariakoo na kumpigia kelele jambaziii apigwe mawe hadi afe.
Halafu nyie mnaletaleta vineno vya ushoga? Mbona kwanza kuna maneno yanafikirisha kuhusu Tania zake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Paul Makonda msukuma wa Kolomije anawatikisa taifa Kubwa Marekani na kupoteza muda wao kumjadili.

Shame on USA
Screenshot_20200201-193120.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom