DODOMA; Wabunge Washindana kula Ubwabwa!

DODOMA; Wabunge Washindana kula Ubwabwa!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Salamu Wakuu,

Baadaye ya kuumiza vichwa na mijadala ya mizito ya kuitoa Tanzania kwenye Lindi la umaskini, leo Wabunge wanafanya bonanza la kushindana kula Ubwabwa na maharage!

Screenshot 2023-06-24 140233.png
Screenshot 2023-06-24 140248.png
Screenshot 2023-06-24 140339.png
Screenshot 2023-06-24 140309.png
 
Salamu, wakuu .
Baadaye ya kuumiza vichwa na mijadala ya mizito ya kuitoa Tanzania kwenye Lindi la umaskini ,Leo Wabunge wanafanya bonanza la kushindana kula Ubwabwa na maarage! Stay tuned tuone nani Mshindi!
Mdee lazima ashinde anakula sana yule dada

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Bunge kwa kushirikiana na CRDB wamefanya mashindano ya Michezo mbalimbali huku ubunifu mkubwa ukiwa Kwenye Shindano la Kula Ubwabwa

Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais Dr Mpango aliyesindikizwa na Spika Tulia na Waziri mkuu mh Majaliwa

Wabunge walioshindana Kula Ubwabwa wameonekana kuufurahia sana mchezo Huo

Source: Clouds

Sabato Njema Watanganyika!
 
Wanatuchukulia poa sana Watanzani subiri mwezi wa Saba watajua hawajui.

Hivi hawa wanajua wako Wazalendo ambao wanakesha hawalali ili kulinda nchi hii iwe salama na yenye amani kwa malipo ya kawaida tu. Wao wanafikiri uongozi wa watu na maisha ya Mwanasiasa ni kuishi kwa starehe kisuperstar na kuponda mali kufa kwaja?! Gluton is a sin according to Bible.
 
Bunge kwa kushirikiana na CRDB wamefanya mashindano ya Michezo mbalimbali huku ubunifu mkubwa ukiwa Kwenye Shindano la Kula Ubwabwa

Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais Dr Mpango aliyesindikizwa na Spika Tulia na Waziri mkuu mh Majaliwa

Wabunge walioshindana Kula Ubwabwa wameonekana kuufurahia sana mchezo Huo

Source: Clouds

Sabato Njema Watanganyika!
Video iko wapi
 
Huku wabunge wanashindana uwezo kupakia menu, kule ‘Bi Tozo’ yupo kwenye tamasha la menu za asili visiwani. Halafu wananchi wenyewe wanashindia mlo na hao viongozi awaoni shida.

Only in Tanzania
 
Back
Top Bottom