Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Sasa na wewe hujagundua kuwa huo ni uskenge?Bunge kwa kushirikiana na CRDB wamefanya mashindano ya Michezo mbalimbali huku ubunifu mkubwa ukiwa Kwenye Shindano la Kula Ubwabwa
Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais Dr Mpango aliyesindikizwa na Spika Tulia na Waziri mkuu mh Majaliwa
Wabunge walioshindana Kula Ubwabwa wameonekana kuufurahia sana mchezo Huo
Source: Clouds
Sabato Njema Watanganyika!
go shill for them elsewhereTukumbuke hawa ni binadamu kama Sisi na wana maisha yetu
Sio shida Kama nao wanakua na vipindi vya michezo na mambo Mengine ya jamii
Tunataka watu wawe watumwa sasa
Ndiyo maana nchi haiendi kabisaNchi ya watu wajinga wajinga! Viongozi aina ya Musukuma, Tabasamu unategemea nini hapo?
Hapo leo wamelipwa kila mtu 470,000 kufanya huo ujinga
Matapeli tupu hayoAcha tuu mkuuu nchi ngumu sana hii na bado wanakuambia haiwatoshi wanataka ongezeko
Ova
Safi sana acha waburudike. Siyo kila mara mijadala isiyokwisha. Let them refresh.Salamu Wakuu,
Baadaye ya kuumiza vichwa na mijadala ya mizito ya kuitoa Tanzania kwenye Lindi la umaskini, leo Wabunge wanafanya bonanza la kushindana kula Ubwabwa na maharage!
View attachment 2667356View attachment 2667357View attachment 2667359View attachment 2667358
Bajaji vp??!!Nchi ya watu wajinga wajinga! Viongozi aina ya Musukuma, Tabasamu unategemea nini hapo?
Bab T hapo naona yuko kwenye shuguli nzitoNi Kweli mkuu lakini Hata ule muda wa kufanya yale yaliyowapeleka bungeni hawafanyi lakini ikifika muda wa kujiachia wanafanya baab kubwa
Ova
Mambo ya ajabu ajabu ndiyo wanayapa kipaumbele
Ova
Hakuna wabunge bali wezi wakubwaBunge kwa kushirikiana na CRDB wamefanya mashindano ya Michezo mbalimbali huku ubunifu mkubwa ukiwa Kwenye Shindano la Kula Ubwabwa
Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais Dr Mpango aliyesindikizwa na Spika Tulia na Waziri mkuu mh Majaliwa
Wabunge walioshindana Kula Ubwabwa wameonekana kuufurahia sana mchezo Huo
Source: Clouds
Sabato Njema Watanganyika!