ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
100Hapo mapenz yanahusika dadeq
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
100Hapo mapenz yanahusika dadeq
Simu itakuwadah inasikitisha sana,unaweza kukuta ni kitu cha kipumbavu kabisa kilichosababisha yote hayo!r.i.p
Mkuu kibongo bongo jinsi police wetu wasivyopenda kuumiza kichwa unaweza jikutta jamaa anawekwa kirahisii kwenye pichaKwa kunyea debe hapana, isipokuwa shata shata za kituoni zitamhusu!
, kama waliuliwa na mtu kutoka nje ilikuaje mlango ukakutwa umefungwa kwa ndanihapa najiuliza je waliuliwa au ni mmoja kati yao alifanya yake kisha akajitoa uhai
Mkuu acha basi!Isije tu ikawa bibie alikuwa wa baba mwenye nyumba....
Je, wengine wanaoishi hapo hawakusikia ombi la msaada huo?
kesi hizi za murder ni hatari sana., kama waliuliwa na mtu kutoka nje ilikuaje mlango ukakutwa umefungwa kwa ndani
Kama polisi wakihisi kuna mtu mwingine kahusika mtamla kichwa huyo jamaa aliyevunja mlango
Kwa kuwa mlango ulikuwa umefungwa Hapo jibu ni kuwa huyo mwanaume ndio kauwa baada ya kuuwa akapagawa akaamua nayeye kujipiga bisu la tumbo case closed
Yeap atasema yoteHawamuachi.. Usikute Love triangle.
Usaliti katika mapenzi lakini wauaji waliweza vipi kuingia na kufanya mauaji kisha kutoweka bila kuonwa?Watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni wapenzi wamekutwa wamefariki dunia huku mwanamke akiwa amechinjwa na mmwanaume ambaye hajafahamika jina akiwa na jeraha kubwa tumboni lililosababisha utumbo kutoka nje.
Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo Jumatatu Septemba 18, 2023 katika Mtaa wa Oysterbay, Kata ya Dodoma Makulu kwenye chumba ambacho mwanamke aliyeuawa Samira Mathias alikuwa amepanga.
Akizungumza na Mwananchi katika eneo la tukio mwenye nyumba hiyo, Donald Nhembelo amesema alisikia kelele za kuomba msaada kutoka kwenye chumba cha mpangaji wake (Samira) saa 7.00 usiku.
Amesema baada ya kufika kwenye chumba hicho alisikia sauti ya mwanaume akiomba msaada ndipo alipouliza Samira yuko wapi na kujibiwa kuwa hawezi kuongea na yeye hawezi kusimama.
“Aliniomba nivunje mlango ili nimsaidie. Nilivunja ubao uliopo juu ya mlango (Venti) na kuingiza mkono kwa ndani na kufungua mlango na nilipowasha taa ndipo nilikuta Samira yuko juu ya kitanda amenyamaza,”amesema.
Amesema damu zilikuwa zimetapakaa kitandani na sakafuni huku mwanaume aliomba msaada ambaye hamfahamu akiwa amelala chini huku utumbo wake ukiwa nje.
Amesema baada ya kuona hali hiyo, aliripoti polisi ambao walifika kwenye eneo hilo ambao baadaye waliondoka na miili ya watu hao.
Balozi wa mtaa wa Oysterbay, Isaya Mabigiri amesema amepata taarifa za uwepo wa tukio kutoka kwa mwenye nyumba hiyo na alipokwenda alikuta miili ya watu.
MWANANCHI
Umewaza vemaKwa haraka haraka,
kama kisu ni kimoja,
mwanaume kamchinja mwanamke nae kajipiga bisu la tumbo.. alivyoona israel mtoa roho huyu hapa ikabidi aombe msaada.
Kama visu viwili, ina maana wapenzi walishikiana visu.
Tawile detective MakaveliKwa haraka haraka,
kama kisu ni kimoja,
mwanaume kamchinja mwanamke nae kajipiga bisu la tumbo.. alivyoona israel mtoa roho huyu hapa ikabidi aombe msaada.
Kama visu viwili, ina maana wapenzi walishikiana visu.
😄🤡☠️💀💀🤡☠️☠️makulu pamekaa ki gangstar sana
Kwa kuwa mlango ulikuwa umefungwa Hapo jibu ni kuwa huyo mwanaume ndio kauwa baada ya kuuwa akapagawa akaamua nayeye kujipiga bisu la tumbo case closed
Naam mkuu, na ndicho hasa kinacho make sense, huyu aisaidie polisi.Huyu naye kuna mahali anajichanganya. Kwa nini akimbilie peke yake eneo la tukio! Alishindwa kabisa kuita na majirani!!
Yaani mpaka anavunja ubao wa mlango (vent), akaingiza mkono na kufungu kitasa (hapa hata sijaelewa kabisa eti) na kuingia ndani, alikosa kabisa mtu wa kusaidiana naye!!
Hivi isije ikawa alikuwa anamkula mpangaji wake! Na baada ya mpangaji siku hiyo kuingiza njemba nyingine, akaingiwa na wivu uliopitiliza! Na kuamua kuwamaliza eti!!
Polisi wafanye uchunguzi wao wa kina kubaini chanzo hasa cha mauaji.
Huyo mwenye nyumba, binafsi bado sijamuelewa kabisa.Watu wawili wanaodhaniwa kuwa ni wapenzi wamekutwa wamefariki dunia huku mwanamke akiwa amechinjwa na mmwanaume ambaye hajafahamika jina akiwa na jeraha kubwa tumboni lililosababisha utumbo kutoka nje.
Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo Jumatatu Septemba 18, 2023 katika Mtaa wa Oysterbay, Kata ya Dodoma Makulu kwenye chumba ambacho mwanamke aliyeuawa Samira Mathias alikuwa amepanga.
Akizungumza na Mwananchi katika eneo la tukio mwenye nyumba hiyo, Donald Nhembelo amesema alisikia kelele za kuomba msaada kutoka kwenye chumba cha mpangaji wake (Samira) saa 7.00 usiku.
Amesema baada ya kufika kwenye chumba hicho alisikia sauti ya mwanaume akiomba msaada ndipo alipouliza Samira yuko wapi na kujibiwa kuwa hawezi kuongea na yeye hawezi kusimama.
“Aliniomba nivunje mlango ili nimsaidie. Nilivunja ubao uliopo juu ya mlango (Venti) na kuingiza mkono kwa ndani na kufungua mlango na nilipowasha taa ndipo nilikuta Samira yuko juu ya kitanda amenyamaza,”amesema.
Amesema damu zilikuwa zimetapakaa kitandani na sakafuni huku mwanaume aliomba msaada ambaye hamfahamu akiwa amelala chini huku utumbo wake ukiwa nje.
Amesema baada ya kuona hali hiyo, aliripoti polisi ambao walifika kwenye eneo hilo ambao baadaye waliondoka na miili ya watu hao.
Balozi wa mtaa wa Oysterbay, Isaya Mabigiri amesema amepata taarifa za uwepo wa tukio kutoka kwa mwenye nyumba hiyo na alipokwenda alikuta miili ya watu.
MWANANCHI
Nimeona wanahojiwa yeye na mke wake kumbe hakwenda peke yake nyumba inawapangaji kama 10 kwahiyo waliamka wote kwenda kuvunja., kama waliuliwa na mtu kutoka nje ilikuaje mlango ukakutwa umefungwa kwa ndani
Kama polisi wakihisi kuna mtu mwingine kahusika mtamla kichwa huyo jamaa aliyevunja mlango