Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Nyie watu Ni wapumbavu ndio maana raia hawapendi kutoa ushirikiano Kwa polis Kwa sababu ya wajinga kama nyie ,mnajaribu kucheza kesi kuwa mtoa ushahidi anahusika ?Huyu naye kuna mahali anajichanganya. Kwa nini akimbilie peke yake eneo la tukio! Alishindwa kabisa kuita na majirani!!
Yaani mpaka anavunja ubao wa mlango (vent), akaingiza mkono na kufungu kitasa (hapa hata sijaelewa kabisa eti) na kuingia ndani, alikosa kabisa mtu wa kusaidiana naye!!
Hivi isije ikawa alikuwa anamkula mpangaji wake! Na baada ya mpangaji siku hiyo kuingiza njemba nyingine, akaingiwa na wivu uliopitiliza! Na kuamua kuwamaliza eti!!
Polisi wafanye uchunguzi wao wa kina kubaini chanzo hasa cha mauaji.
Ndio maana mim hata nikiona mtua anakufa nakataa nasema sikuona kabisa ,sababu ya mbwa kama nyie ,na polisi kumejaa wajinga kama nyie ,Kazi Ni kuanza kumshuku MTU aliyeona bila kutumia taaluma yenu kutatua matatizo ...