Dodoma: Wanaodaiwa kuwa wapenzi wakutwa wamefariki

hapa najiuliza je waliuliwa au ni mmoja kati yao alifanya yake kisha akajitoa uhai
, kama waliuliwa na mtu kutoka nje ilikuaje mlango ukakutwa umefungwa kwa ndani

Kama polisi wakihisi kuna mtu mwingine kahusika mtamla kichwa huyo jamaa aliyevunja mlango
 
, kama waliuliwa na mtu kutoka nje ilikuaje mlango ukakutwa umefungwa kwa ndani

Kama polisi wakihisi kuna mtu mwingine kahusika mtamla kichwa huyo jamaa aliyevunja mlango
kesi hizi za murder ni hatari sana.
 
Usaliti katika mapenzi lakini wauaji waliweza vipi kuingia na kufanya mauaji kisha kutoweka bila kuonwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naam mkuu, na ndicho hasa kinacho make sense, huyu aisaidie polisi.
 
Kama faza hausi anahusika ni rahisi kunyakwa, wataangalia mawasiliano yake, kama alikua na mahusiano na marehemu lazima atakua ameacha traces kwenye mawasiliano.
 
Huyo mwenye nyumba, binafsi bado sijamuelewa kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…