Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

nchi ina utoto mwingi sana hii, huu ni utoto tu kama utoto mwingine....wenye shida na Polepole kama kweli wana shida naye hawawezi kuwa wapumbavu kiasi hicho...

Kama shida ni kumtisha zipo namna nyingi na very smart na inakuwa kitisho kweli kuliko huo utoto...kama ilikuwa shida kuja kumdhuru nao ni utoto maana zipo namna nyingi very smart za kumdhuru...
Usiwe mjinga, watu wanatafuta Siri zake ili wamfunge mdomo!
 
Utakuwa ni upumbavu wa hali ya juu kumuamini huyo kikaragosi. Katika kujitafutia umaarufu na kutajwa, ameamua aje na hili labda litamtoa. Hakuna wa kushughulika na huyo bwege kwa upande wa serikali
Acha ujinga, Polepole ni CCM, na hawana uhakika Ana Siri zipi kwenye documents zake kutoka kwenye CCM ya JPM.
Hapo lazima wahangaike Naye!
 
Mtu kama Polepole ameshindwa kuweka Mlinzi/Security guard nyumbani kwake na ubunge na uenezi wote ule!
Basi siasa hailipi jameni.
Mtazamo wako wa maisha Bora ni kulindwa, wengine tunaamini ktk maisha huru!
 
Mambo yalishaanza kuwa mambo, Muda ni wakati

Wazee wamesepa na laptop ya shule ya uongozi...
Sawa sawa kabisa hiyo ndiyo dawa ya msaliti wa wananchi.

Usitegemee kupanda bhangi ili uvune mahindi
 
Hii Tanzania bila kuiondoa CCM madarakani hakuna aliye salama.

Kama wao kwa wao wanatendeana hivyo..vipi kwa mtu baki!?

Watanzania tuamke sasa. Kama Sudani N. na kwingineko wameweza sisi tunashindwa nini?
Tatizo kuna watu kama kina Polepole waliokuwa wananufaika na mfumo uliokuwepo
 
Tunahitaji Tume huru ya Uchaguzi ndio dawa ya yote haya bila ya kuisahau Katiba mpya. Inajulikana wazi CCM haina kheri hata moja,sasa wananyukana wenyewe kwa wenyewe. Na bado kazi iendelee
 
Karma is a bitch .

Wakati kina Nape wanashikiwa bastola alikuwa anachekea ,kina lissu wanapigwa risasi anaona poa .

Ni funzo kubwa ,alisema kwa kejeli Lissu anakaa na bwana zake kakimbia nchi ,Mbowe alivunjwa mguu akasema alikuwa amelewa faru John akaanguka . Hata kama ni serious kweli sisi tunasema umelewa Double Kick ukavuruga sebule ili useme umevamiwa.
Na ile ky ni ya nini?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Yeye Polepole wakati akiwa na kiburi kwenye utawala wa kidhalimu wa Magufuli alikuwa anajibu kwa hoja? Tena alitakiwa akamatwe atobolewe macho na hao majizi wenzake wa CCM, hii itamsaidia kuvuna matunda ya siasa chafu alizopandikiza yeye na Magufuli.
Wewe ni jinga sana, atobolewe macho?
 
Karma is a bitch .

Wakati kina Nape wanashikiwa bastola alikuwa anachekea ,kina lissu wanapigwa risasi anaona poa...
Hapo ni chumbani ni ofisini ni sebuleni ni kila kitu(kwa mtizamo wangu).
 
Back
Top Bottom