Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

In Next 10 Years, Tusipoingia kwenye Mapigano ya Sisi kwa Sisi au kutoka Nje, Basi Mungu atakuwa upande wetu. Tanzania kwa Sasa Tunaihitaji sana Ile Chadema Ya 2015, Ile Chadema Ya Kina Zitto na wengine.
 
Kama kweli atakwisha itakuwa ni usaliti kama hataondoka na BASHIRU, MPANGO ,MAJALIWA, JENISTA, GWAJIMA, MSUKUMA pamoja na NDUGAI kwani wote hawa walikuwa wote wanaunga mkono MAGUFULIFICATION of the country. They were all JIWE"S cheer leaders wa JUHUDI!
Kila mmoja kwa wakati wake atavuna alichopanda.
 
Atapata shida sana, na kuna watu kama 20 hivi wameandaliwa kumvua nguo, na hao wote hakuna kiongozi wa chama wala Serikali hata mmoja, itafika kipindi atakua hata hajui anapambana na nani, Imepangwa afike akiwa amechoka sana
 
sasa hapo hawajulikani kivipi wakati ujumbe walioacha unajieleza.
Ni timu Samia hao kwani Bulembo hamkumsikia?? wacha watoane ngeo tatizo ni kwamba JPM ndiye alaumiwe kwa kuwafungua watu hata Samia kasema hadharani ati aliachiwa gari bovu,,,
Samia arudishe ufisadi nchini lakini tuna imani akiondoka tuu tutampata mtu kidogo kulingana na JPM,,, Samia hafai nukta
 
Mfumo bana hauelewakagi!

Unaweza kuwepo kwenye mfumo

Mfumo huo huo uka dili na wewe

Kikubwa we tii na kuheshimu mamlaka

Ova
Unaweza uka tii na kuheshimu ,ila kwa bahati nzuri ukawa kwenye upenyo Fulani wa kufahamu siri fulani au a kupata nafasi au fursa Fulani sio kwa kupenda wewe wala kutafuta lakini bado hiyo hiyo system ikakufekelea mbali.
 
Kabisa

Ova
 
Ngoja 2025 Ifike, Tutaona Mengi na Sura Zao Halisi. Ngoja Miradi aliyo Anzisha JPM iishe kufunguliwa [emoji28], Tuanze kumpima Amefanya nini? Mwaka mmoja unatimia Mwakani, Tutaangalia...
Tanzania upinzani imara upo sana mkuu,sema ndio hivyo likatiba hili libovu linakipa upendeleo chama kilichopo madarakani kufanya kitakavyo.ila ni swala la muda tu,hii nchi ni yetu sote hakuna mwenye hatimiliki nayo.
 
Mambo yalishaanza kuwa mambo, Muda ni wakati

Wazee wamesepa na laptop ya shule ya uongozi

Wazee wamesepa na TV ya kudisplay shule ya uongozi

Watu walionya hapa uchaguzi wa 2020 atende haki, Sasa yamemkuta

Baada ya Press ya Dar, Bwana Humprey Polepole amekutana na alichokuwa anakitafuta Dodoma

Ukurasa wake wa FB anajieleza mwenyewe

Sasa sijui ameanza kufahamu vieti.

Screenshot_20211213_052702.jpg
 
Ata weweew hapa umekuwa mpambe wa Bibi tozo
It is never personal kati yangu na Bi Tozo

Japo naunga uhuru wa Polepole, ila kwenye hili tukio naona kama vibaka tu wametumwa na wahuni.

Sidhani watu wa serikali wana njaa ya kuondoka na TV.
 
It is never personal kati yangu na Bi Tozo

Japo naunga uhuru wa Polepole, ila kwenye hili tukio naona kama vibaka tu wametumwa na wahuni.

Sidhani watu wa serikali wana njaa ya kuondoka na TV.
Wahuni hao, kwa aina ya siasa za Samia hawezi kupambana/kuagiza Polepole ashughulikiwe, atamuacha aongee hadi atapochoka mwenyewe au atapoona tabia yake haiwapendezi wenzie ndani ya chama! Ila kinachoshangaza zaidi hakuna mwanaCCM hata mmoja aliyejitokeza hadharani kuungana na Polepole, ukiacha watukanaji wa mitandaoni kwa fake IDs
 
Ni timu Samia hao kwani Bulembo hamkumsikia?? wacha watoane ngeo tatizo ni kwamba JPM ndiye alaumiwe kwa kuwafungua watu hata Samia kasema hadharani ati aliachiwa gari bovu,,,
Samia arudishe ufisadi nchini lakini tuna imani akiondoka tuu tutampata mtu kidogo kulingana na JPM,,, Samia hafai nukta
Hahaha, kuna miaka 9 mbele, hadi 2030! Utafura hadi utapasuka
 
Hii Tanzania bila kuiondoa CCM madarakani hakuna aliye salama.

Kama wao kwa wao wanatendeana hivyo..vipi kwa mtu baki!?

Watanzania tuamke sasa. Kama Sudani N. na kwingineko wameweza sisi tunashindwa nini?
 
Back
Top Bottom