Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

MATAGA wamemuibia Polepole ile Tv kubwa anayoitumia kwenye vipindi vyake vya shule ya Uongozi, na baaado🤣🤣🤣

Kidogo kidogo atajua tunayoyapitia wapinzani.
j5I.jpg
 
Vibaka tu. Kwani polepole hana familia hadi nyumba ibakie bila hata ulinzi?

It is never personal kati yangu na Bi Tozo

Japo naunga uhuru wa Polepole, ila kwenye hili tukio naona kama vibaka tu wametumwa na wahuni.

Sidhani watu wa serikali wana njaa ya kuondoka na TV.
Hata kwa Lisu mlikana aliposema kuna watu wanamfatilia mwisho umeona kilichompata. Sikia hao watu siyo vibaka Kama unavyosema wametumwa na watamdhuru Kama akiendelea kuongea Sasa Kama ana moyo ule wa Lisu wa kutokunyamaza kusema Ukweli andelee Ila aelewe watamuumiza.

Ila katika hili MUNGU asimame na polepole Kumlinda Kama alivyomlinda na kumponya Lisu na kifo machoni pa watesi wake. Polepole Shetani Hana urafiki hata umtetndee jema gani. Hilo chama Ni Lijini linalotafuna na kuuwa wasema ukweli.
 
Ukiwa na Akili fupi hapa unaweza kudhani kuwa hili tukio ama limefanywa na CCM au na System iliyo chini yake.

Lakini ukiwa na Akili Kubwa utakubaliana nami KEROZENE kuwa hili ni Tukio la Kupangwa Kimkakati tena na Mhusika Pole Pole mwenyewe...
Uwezipishana na maneno mliotamka kwa Lisu mwisho kilitokea nini?. Uwe mkweli mwambie anyamaze mtamuuwa.acha kutetea ujinga na uku watu wanaumia
 
Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa Polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za thamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa View attachment 2041847
Wakati yanatokea kwa wapinzani vijana wa UVCCM walikuja na kauli kuwa wapinzani wanafanyiana wenyewe ili kupata huruma ya wananchi.
 
Hivi watanzania nani katuroga?
Kwa nini tunakuwa wasahaulifu na wenye simple reasoning kiasi hiki?

Hivi ilikuwaje enzi za Mrema na NCCR yake na sasa hivi Mrema ameishia wapi?

Polepole na CCM wenzake wanatuchezea mchezo wa maigizo na bahati mbaya wengi hatuelewi kama haya ni maigizo.

Lengo lao ni kudivert attention zetu juu ya kinachoendelea kwenye kesi ya mbowe.

Pia wanajaribu kutupumbaza na kupumbaza jumuia ya kimataifa ionekane kuna resistance ndani ya CCM ili ionekane CCM wenyewe wanaweza kuvaa viatu vya CHADEMA na hivyo CHADEMA na upinzani halisi nje ya CCM hauna umuhimu.

Hizi ni propaganda kama propaganda nyingine. Kwa bahati mbaya wamefanikiwa kumanipulate our reasoning na wanatuendesha watakavyo na kutuaminisha wanachotaka tukiamini kwa maslahi yao.

Pathetic
 
POLEPOLE MNGEPITISHA ILE KATIBA ULIYOISALITI HUU UPUMBAVU WALA USINGEKUTOKEA KAMWE. ENDELEENI KULIKUMBALIA ILI LIKATIBA AMBALO HATA MTU ANATOKA CHOONI NA MAWAZO YA KIMAVI LINAMRUHUSU KUFANYA ANACHOTAKA.
 
In Next 10 Years, Tusipoingia kwenye Mapigano ya Sisi kwa Sisi au kutoka Nje, Basi Mungu atakuwa upande wetu. Tanzania kwa Sasa Tunaihitaji sana Ile Chadema Ya 2015, Ile Chadema Ya Kina Zitto na wengine.
Pamoja na yote mama amewakumbuka sana wafanyakazi, amewapandisha madaraja na vyeo ambapo kwa miaka mi5 hawakuwahi kupata. Kujifanya huoni alichofanya ni ujinga.
 
Back
Top Bottom