Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Nitaamini maneno ya POLEPOLE akionesha picha za mlango wake kuvunjwa au kuharibiwa. Vinginevyo ni maigizo na ni lazima ashughulikiwe kwa kuchafua jamii.
 
"Hali nilivyoikuta nyumbani kwangu Dodoma muda huu, Nakwenda kuripoti Polisi. Yeyote aliyefanya haya Mungu atanilipia" amesema Humphrey Polepole.
Ndugu Polepole pole.

Tukio hili liwe ni la ukweli au la ubunifu wako/wenu kwangu mimi BADO ni yaleyale, vilevile. Kwa kweli SILISHANGAI kabisa.

Lakini la msingi ni kuwa; KWA kazi ya mikono yako hapa ndipo mlipofanikiwa kulifikisha taifa letu. Ninachosubiri kukisikia sasa hivi ni; akina Mollel, Waitara, Ndugai, Mwigulu, Sirro na wengine wenye ujasiri wa kubumba na kupayuka, WATALISEMEAJE? AMEN
 
Wakati wanavamia na kuiba familia ya pole pole ilikuwa wapi?? Hao ndio wanaweza kutuambia kitu la sivyo.atakuwa ametengeneza attention tu hakuna kilicho ibwa hapo

Sent from my vivo 1907 using JamiiForums mobile app
 
Hiyo cenema. Watu serious hawawezi kuondoka na TV
Na wao lengo lao walitaka ufikiri hivi kuwa waliofanya hawakuwa watu serious...eti ni wezi tu. Hao ni watu wa system na lengo ni kumpa onyo na kumuonyesha jinsi yajayo yatakavyokuwa.
 
Yeye Polepole wakati akiwa na kiburi kwenye utawala wa kidhalimu wa Magufuli alikuwa anajibu kwa hoja? Tena alitakiwa akamatwe atobolewe macho na hao majizi wenzake wa CCM, hii itamsaidia kuvuna matunda ya siasa chafu alizopandikiza yeye na Magufuli.
AMEN
 
Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa Polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za thamani na kuacha ujumbe...
Uongozi wa nchi uliojaa visasi unatuma watu kwenda kwa mbunge unavunja nyumba unapekua kila kona unachokitafuta unakijua mwenyewe.
Visasi vinavyoendelea kwa sasa dhidi ya viongozi waliokuwa chini ya JPM hautaicha salama Tanzania kabla ya 2023.

Zimesikika kauli za viongozi kadhaa wengine wako madarakani na wengine ni wastaafu wakimtishia maisha na kumfukuza uanachama wa CCM Humphrey Polepole,hii ni fedheha sana na ndio ya chanzo cha migogoro na vurugu kwenye jamii.

Watanzania wanatakiwa kuikataa tabia hii ya kihuni na viongozi wote waliosikika kwa nyakati tofauiti wakimtishia maisha au kumwajibisha mbunge huyo kutokana na kukosoa mwenendo wa nchi wanawajibika na matendo haya ya kifedhuli na Mungu atawatia adabu.

Pole sana HHP hujafa hujaumbika ndani ya nyumba yenu kuna majambazi yaliyokubuhu yakitafuta upenyo wa kunyamazisha sauti zinazotetea wananchi wa chini. Wito kwa jeshi la polisi fanyeni uchunguzi na mchukue hatua stahiki dhidi ya wote wanaohusika kisha wapelekwe mahakamani
 
Ukiwa na Akili fupi hapa unaweza kudhani kuwa hili tukio ama limefanywa na CCM au na System iliyo chini yake.

Lakini ukiwa na Akili Kubwa utakubaliana nami KEROZENE kuwa hili ni Tukio la Kupangwa Kimkakati tena na Mhusika Pole Pole mwenyewe.
Kwamba ni tukio la kupangwa,napingana na wewe. Kwa nini uhalifu unapofanywa kwa uwazi na watu wa system mnapenda kutetea kuwa hawahusiki?

Ilitokea kwa Lissu,Mbowe na wengine wengi kwa mamia lakini mnasema wamepanga wenyewe! Ata kesi ya Mbowe mtasema kapanga mwenyewe kutafuta kiki.

Kwamba tuliompinga Polepole leo hii tunamuunga mkono,unashangaa nini sasa? Mbona ata Mungu usamehe kwa wanaotubu!
Polepole km amerudi kwenye mstari na sisi tutampokea tu,adui wa wezi wa CCM ni rafiki yetu au aliye kinyume na CCM kwetu ni rafiki. Huu ni utaratibu wa dunia nzima...adui wa adui yako mfanye awe rafiki yako ili muungane kumtoa huyo adui yenu.

Mwisho unasema Polepole lengo lake ni kuchafua serikali! Unachafuaje sasa kitu kichafu tayari? Jibuni hoja za Polepole msikimbilie huruma kuwa mnachafuliwa wakati ni wachafu tayari na mmepangana kwa ajili ya kufanya wizi na ufisadi...muda umefika sasa tutagawana mbao hakuna namna tena.
 
🤣🤣 safi enzi akiwa na madaraka CCM hakuwai kuwakemea wasiojulikana ss Acha aisome namba
 
KY MEZANI KWA POLEPOLE YA KAZI GANI?
TUNAOMBA UFAFANUZI TAFADHALI
 
Mungu atakulipia au ndo anakulipa kwa uliyoyatenda miaka mitano nyuma?
 
Vita ya kiuchumi ni ngumu sana...
Hahahahahah nilikua Natafuta comment Yako,nilitegemea ulichokiandika hapa mkuu,et vita ya uchumi ni ngumu sana

Unataka kusema mabeberu waneanza hujuma Kwa WAZALENDO waliotukuka kama ndugu chakubanga?
😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom