Ghosryder
JF-Expert Member
- Jul 6, 2014
- 10,403
- 4,373
Mama hatakagi matumizi ya nguvu, sa sijui hao ni akina nani??CCM wako pazuri kuelekea hatima yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama hatakagi matumizi ya nguvu, sa sijui hao ni akina nani??CCM wako pazuri kuelekea hatima yao.
Ndugu Polepole pole."Hali nilivyoikuta nyumbani kwangu Dodoma muda huu, Nakwenda kuripoti Polisi. Yeyote aliyefanya haya Mungu atanilipia" amesema Humphrey Polepole.
Na wao lengo lao walitaka ufikiri hivi kuwa waliofanya hawakuwa watu serious...eti ni wezi tu. Hao ni watu wa system na lengo ni kumpa onyo na kumuonyesha jinsi yajayo yatakavyokuwa.Hiyo cenema. Watu serious hawawezi kuondoka na TV
😂😂hiyo ni nyumba au chumba cha Mwanachuo.
AMENYeye Polepole wakati akiwa na kiburi kwenye utawala wa kidhalimu wa Magufuli alikuwa anajibu kwa hoja? Tena alitakiwa akamatwe atobolewe macho na hao majizi wenzake wa CCM, hii itamsaidia kuvuna matunda ya siasa chafu alizopandikiza yeye na Magufuli.
Uongozi wa nchi uliojaa visasi unatuma watu kwenda kwa mbunge unavunja nyumba unapekua kila kona unachokitafuta unakijua mwenyewe.Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa Polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za thamani na kuacha ujumbe...
[emoji23][emoji23][emoji3]Simba kageuka mbwa hii ni miujiza
Kwamba ni tukio la kupangwa,napingana na wewe. Kwa nini uhalifu unapofanywa kwa uwazi na watu wa system mnapenda kutetea kuwa hawahusiki?Ukiwa na Akili fupi hapa unaweza kudhani kuwa hili tukio ama limefanywa na CCM au na System iliyo chini yake.
Lakini ukiwa na Akili Kubwa utakubaliana nami KEROZENE kuwa hili ni Tukio la Kupangwa Kimkakati tena na Mhusika Pole Pole mwenyewe.
Utawala wa kuuwa uwa na mwenyewe kadedi, bado makonda kipilmbe na wanamipango wenzake viarusi mastroke midomo kupinda inakujaBora mama angekua JPM angemumiminia risasi zaidi ya 16.
Watakuwa wameiba notes za shule ya uongozi
Kama tadini tudanaa
Si hata ye mwenyewe alipenda kuwakejeli wenzake hivohivo,kwanza watu wasojukikana hawafanyagi mission za kishamba namna hiyo huyo kajiandikia mwenyewe na kuvuruga chumba
Hahahahahah nilikua Natafuta comment Yako,nilitegemea ulichokiandika hapa mkuu,et vita ya uchumi ni ngumu sanaVita ya kiuchumi ni ngumu sana...