residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Ni "majamvi" ya wageni Lumumba.
"Hao kazi yao ni kumkarimu kiroboto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Hao kazi yao ni kumkarimu kiroboto?
kumbe hao jamaa wapo na upande wa pili? mi nilijua wasiojulikana wapo upinzan pekeeeeeeee.....safi sana kama picha ndio lipo ivyoHabari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa Polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za thamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa
View attachment 2041847
=====
WATU WASIOJULIKANA WAVAMIA NYUMBANI KWA MBUNGE HUMPHREY POLEPOLE,
Watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwa mbunge Humphrey Polepole (Dodoma) wakati akiwa safarini, na hii ndio hali ya nyumbani kwake palivyo kwa sasa kama video inavyoonesha
Mbunge Polepole amethibitisha kuwa nyumbani kwake jijini Dodoma, pamevunjwa na watu wasiojulikana na kuibiwa Television pamoja na kuharibiwa vitu mbalimbali siku ya Desemba 12, 2021 akiwa safarini Manyara ambapo amerejea usiku huu na kukuta hali hiyo
"Hali nilivyoikuta nyumbani kwangu Dodoma muda huu, Nakwenda kuripoti Polisi. Yeyote aliyefanya haya Mungu atanilipia" amesema Humphrey Polepole.
View attachment 2042259
hujawasikia Nape na Bulembo walivyohamaki......kwanini wahamaki kwa mtu asiye na ushawishi?Anajitengenezea kiki na wapush gang wenzake huyo.
Wanacheza movie ya kitoto kabisa.
Wakati wanajua kabisa hakuna mwenye ushawishi.
Serkali haiwezi kumfuatilia mpuuzi kama huyo.
Karma is a bitch !! The universal law of attraction !!Mfumo bana hauelewakagi!
Unaweza kuwepo kwenye mfumo
Mfumo huo huo uka dili na wewe
Kikubwa we tii na kuheshimu mamlaka
Ova
Mtu atakua na viete akose pisto?Mhe. Polepole inabidi amiliki Pisto kwa usalama wake
Kweli nimeaminiKarma is a bitch !! The universal law of attraction !!
Wakati Magufuli akifanyia watu uhayawani, kuwateka na kuwaua wakosoaji mlikuwa kimya, sasa mmeguswa mnasema nchi haitabaki salama kabla ya 2023. Tulisema dhuluma haidumu, sasa yanatokea yale yake mliyoona ni haki kwa wengine kisa uzalendo uchwara wa Magufuli. Tunataka tusibaki salama ili tuheshimiane.Uongozi wa nchi uliojaa visasi unatuma watu kwenda kwa mbunge unavunja nyumba unapekua kila kona unachokitafuta unakijua mwenyewe.
Visasi vinavyoendelea kwa sasa dhidi ya viongozi waliokuwa chini ya JPM hautaicha salama Tanzania kabla ya 2023.
Zimesikika kauli za viongozi kadhaa wengine wako madarakani na wengine ni wastaafu wakimtishia maisha na kumfukuza uanachama wa CCM Humphrey Polepole,hii ni fedheha sana na ndio ya chanzo cha migogoro na vurugu kwenye jamii.
Watanzania wanatakiwa kuikataa tabia hii ya kihuni na viongozi wote waliosikika kwa nyakati tofauiti wakimtishia maisha au kumwajibisha mbunge huyo kutokana na kukosoa mwenendo wa nchi wanawajibika na matendo haya ya kifedhuli na Mungu atawatia adabu.
Pole sana HHP hujafa hujaumbika ndani ya nyumba yenu kuna majambazi yaliyokubuhu yakitafuta upenyo wa kunyamazisha sauti zinazotetea wananchi wa chini. Wito kwa jeshi la polisi fanyeni uchunguzi na mchukue hatua stahiki dhidi ya wote wanaohusika kisha wapelekwe mahakamani
Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa Polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za thamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa
View attachment 2041847
=====
WATU WASIOJULIKANA WAVAMIA NYUMBANI KWA MBUNGE HUMPHREY POLEPOLE,
Watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwa mbunge Humphrey Polepole (Dodoma) wakati akiwa safarini, na hii ndio hali ya nyumbani kwake palivyo kwa sasa kama video inavyoonesha
Mbunge Polepole amethibitisha kuwa nyumbani kwake jijini Dodoma, pamevunjwa na watu wasiojulikana na kuibiwa Television pamoja na kuharibiwa vitu mbalimbali siku ya Desemba 12, 2021 akiwa safarini Manyara ambapo amerejea usiku huu na kukuta hali hiyo
"Hali nilivyoikuta nyumbani kwangu Dodoma muda huu, Nakwenda kuripoti Polisi. Yeyote aliyefanya haya Mungu atanilipia" amesema Humphrey Polepole.
View attachment 2042259
Kwa hiyo tuseme na Polepole ameanza kuonja maumivu ya akina Lissu? Akina Azori? Akina Akwilina? Akina Nape? Na badoHabari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa Polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za thamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa
View attachment 2041847
=====
WATU WASIOJULIKANA WAVAMIA NYUMBANI KWA MBUNGE HUMPHREY POLEPOLE,
Watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwa mbunge Humphrey Polepole (Dodoma) wakati akiwa safarini, na hii ndio hali ya nyumbani kwake palivyo kwa sasa kama video inavyoonesha
Mbunge Polepole amethibitisha kuwa nyumbani kwake jijini Dodoma, pamevunjwa na watu wasiojulikana na kuibiwa Television pamoja na kuharibiwa vitu mbalimbali siku ya Desemba 12, 2021 akiwa safarini Manyara ambapo amerejea usiku huu na kukuta hali hiyo
"Hali nilivyoikuta nyumbani kwangu Dodoma muda huu, Nakwenda kuripoti Polisi. Yeyote aliyefanya haya Mungu atanilipia" amesema Humphrey Polepole.
View attachment 2042259
Ukitaka kujua kama ana ushawishi au hana angalia kila Uzi utakao anzishwa humu jf kuhusu huyo jamaa utaona wachangiaji ni wengi including you !! Karma IPO kazini !!hujawasikia Nape na Bulembo walivyohamaki......kwanini wahamaki kwa mtu asiye na ushawishi?
Mimi naona hata hivyo bado. Angepatikana kwenye kiroba kama enzi za akina Polepole ningemwonea huruma. CCM ni shida. Ujinga, maradhi, Umaskini, na CCM ndio maadui wakubwa wa TaifaWakati Magufuli akifanyia watu uhayawani, kuwateka na kuwaua wakosoaji mlikuwa kimya, sasa mmeguswa mnasema nchi haitabaki salama kabla ya 2023. Tulisema dhuluma haidumu, sasa yanatokea yale yake mliyoona ni haki kwa wengine kisa uzalendo uchwara wa Magufuli. Tunataka tusibaki salama ili tuheshimiane.
Kama ni wapambe tu, attitude na vitendo vya serikali kuhusu hili tukio vitathibitisha hilo. Polepole anasema karipoti polisi. Tutaona kitakachoendelea.Upambe nuksi sana na hapa inabidi tujifunze kitu mama Samia hawezi kutuma watu kufanya upuuzi wa aina hiyo.
Ata kwa Magufuli ilikuwa ivyo ivyo mambo mengine ni wapambe tu; hawa watu ogopa.
Si msaliti ndumilakuwiliKwenye ukurasa wa Polepole kule FB. Kila aliye comment amemshambulia mzee wa viete.
Kumbe Polepole hapendwi Kama nyoka....
Ndo maana Lissu alipojenga hoja. Wahuni wakammiminia risasi . Wahuni siyo watuWahuni bhana, hawawezi kushindana kwa hoja. 😂