Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za dhamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa


View attachment 2041847

Katika uchambuzi wa hali ya kisiasa na kijamii ya nchini Tanzania , mchambuzi wa sayansi ya siasa, utawala bora , demokrasia ambaye pia ni kiongozi mstaafu wa Pan Africanism ( umajinui wa bara afrika) msomi na mwanasheria Jenerali Ulimwengu alionesha hofu kuwa nchi imefika pabaya sana
👇

07 December 2021

Jenerali Ulimwengu: Tofauti za mawazo siyo uadui, kukubaliana kutofautiana ndiyo ustaarabu.



Tanzania tumefika hatua mbaya sana , Jenerali Ulimwengu Amlipua Tena Spika Job Ndugai, tumefikia Kutishana, kutofautiana Mawazo Si Uadui,wakina Sabaya Bado Wapo

Madaraka ya kukataza siasa, rais hana mamlaka hayo kikatiba . Hali matamko (lawlessness) ya kutokuwa na uhalali yanapendwa na viongozi wa sasa .... na utamaduni huo hatari unaanza kuzoeleka katika jamii kuanzia juu mpaka chini .. ni tatizo ...
Source : Mubashara Studio
 
Aliwaambia wakimtibua atabwatuka sababu za kukataa kuchanja.

Humphrey Polepole na wenzake wanajua siri za nchi kuliko Mama wa Kizanzibari ambae Magu hakumuweka karibu, hamjui.

Venance Mabeyo kwenye msiba wa JPM alimwambia Samia ukitulia njoo tukueleze baadhi ya siri.

Vice President Samia Suluhu Hassan hakupewa national security clearance ya level ya Polepole, Bashiru, Doto James, Mabeyo na Katibu Mkuu Ikulu ambae Samia kam ship out kwenda u RAS Geita. Inamuuma sana Samia.
Mmmh mmmh mmmhh
 
Haya ndo maeneo nayomkumbuka Jiwe enzi zake kwa kejeli za Polepole saizi tungekuwa tunazika ama hajulikani alipo.
 
Pole pole amerudi nyumbani amelewa, akaficha tv na kuvuruga nyumba kisha akasema kapekuliwa na kuibiwa.....
Ukute alizulumu mali za watu wamekuja kuchukua chao yeye anadanganya watu kaibiwa
 
Screenshot_20211213-000250.png
 
Back
Top Bottom