Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

WASIOJULIKANA BADO WAPO TU? Si mlisema walikuwa watu wa Magufuli!!!! This is government intimidation ambayo serikali yenyewe inapaswa kukalipia. Mjibuni Polepole kwa hoja na sio vitisho kwani hayo matendo yenu yanaweza kuja kuwarudia na nyinyi pia kama yanavyomrudia Polepole!!! You should learn by now that there is nothing that is permanent!!!
Yes walikuwa ni watu wa Magufuli ,alikufa Magufuli lakini wao bado wapo
 
Wewe mzima kichwani???
Kwa hali iliyopo sasa hivi huwezi kamwe kumbishia huyo juu ya hilo.

Popole, au mtu mwingine yeyote, wakipewa nafasi ya kugombea katika uwanja ulio sawa, bila ya polisi, tume chafuzi na mengineyo; pamoja na kutomkubali Popole, siwezi kudai kuwa hawezi kumwangusha huyu mama.

Na ujuwe ninazo akili timamu kabisa, pengine kukuzidi wewe chawa.
 
Ashukuru mungu hawajamkuta

Wangemkuta angechezea nakoz😂😂

Mzee wa viete aka kucheza sebene

Ova
 
Polepole ameandika kwenye twitter yake, hivi:

"Leo nilikuwa Babati Vijijini kwenye Kambi ya Vijana Wazalendo, tumesema mengi ya kujenga Nchi yetu. Nimewaahidi nitaendelea kufukiza moshi kwenye pango la wahuni na muwe macho watatoka Mmoja baada ya mwingine, sema leo sijapata muda wa kufuatilia, kuna aliyetoka? "

Kumbe wahuni wako pangoni? akipiga moshi kwenye pango wanatoka mmoja baada ya mwingine.

swali langu, je pango la wahuni lipo sehemu gani?

Tutajua mengi........kimeumana.
 
Dhamani [emoji777]

Thamani [emoji3581]



Hivi ni haujui kuandika au unakosea kusudi. Me nakerekwa na watu wanaoandika kwa kukosea makusudi. [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Hili ni tatizo la kitaifa, siyo yeye tu utakuta mtu ni mwana habari kabisa ila anaandika dhamani badala ya thamani, dhibitisha badala ya thibitisha. Inakera na inachefua kwakweli
 
Kwa hali iliyopo sasa hivi huwezi kamwe kumbishia huyo juu ya hilo.

Popole, au mtu mwingine yeyote, wakipewa nafasi ya kugombea katika uwanja ulio sawa, bila ya polisi, tume chafuzi na mengineyo; pamoja na kutomkubali Popole, siwezi kudai kuwa hawezi kumwangusha huyu mama.

Na ujuwe ninazo akili timamu kabisa, pengine kukuzidi wewe chawa.
Najua huna akili nzuri, yaani wewe ukiwekewa POLEPOLE MBELE YA MAMA SAMIA UNAMCHAGUA CHAKUBANGA?
Mkuu akili yako haiko sawia.
 
Karma is a bitch .

Wakati kina Nape wanashikiwa bastola alikuwa anachekea ,kina lissu wanaopigwa risasi anaona poa .

Ni funzo kubwa ,alisema kwa kejeli Lissu anakaa na bwana zake kakimbia nchi ,bila shaka kwa mda huu akili zinaanza kumkaa
Kabisa mkuu.Unalofanya Leo litakurudia kesho. ndicho kinachomtokea polepole. Kilichomfanya Lisu kupigwa risasi ni hoja.polepole yeye anasema ajibiwe kwa hoja mbona Lisu walimjibu kwa Risasi?. Ushauri kwa polepole. Sikia polepole nchi hii haitaki watu wakweli na unalijua Hilo hata unajua Lisu alipigwa risasi na kina nani sababu ya ukweli na ulifurahia.Ni hao wasiotaka ukweli na unawajua. Lisu alisema wakitumaliza sisi watakuja kwenu na wamefika kwako chagua moja udhulike au unyamaze uwe salama. Hao mashetani kabisa. Ila MUNGU AKULINDE NA KUKUPONYA. Toka usaliti katiba sipo upande wako Ila sipendi mwanadamu kuumizwa.
 
Back
Top Bottom