Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Polepole anapaswa ajikaze, lile kundi la wahanga wa Magufuli wanaonekana kujipanga, nimemsikia mzee mwingine leo kajitokeza.

Anapaswa akubali matokeo mbaya zaidi ameahidi kuwaanika baadhi yao, so hii inaweza kuwa wanamuwahi kumnyamazisha ili asianike siri zao

Ni hatari sana.
Kwani yeye polepole hana maovu?
 
Habari wa wakati huu. Kwa taarifa za haraka hataka zilizotufikia hapa ofisini ni kwamba watu wasio julikana wamevamia nyumbani kwa Mhe. polepole Jijini Dodoma wakati yeye akiwa safarinj kutokea Dar es salaam. Kutoka kwenye page ya Mtangazaji Maulid Kitenge Tizama picha hapa Chini

“Watu wasiojulikana wamevamia nyumbani kwa @hpolepole (Dodoma) wakati akiwa safarini, na hii ndio hali ya nyumbani kwake palivyo kwa sasa.

"Hali nilivyoikuta nyumbani kwangu Dodoma muda huu, Nakwenda kuripoti Polisi. Yeyote aliyefanya haya Mungu atanilipia" amesema @hpolepole .

WAHUNI SIO WATU WAZURI AISEE..!! “

Source: kitengeUpdates
IMG_1889.jpg


IMG_1888.png
 
Yule jamaa mwenye sonona kali baada ya kutoswa amekuja na igizo jipya safari hii akidai kuvamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake kama alivyopost kwenye mtandao wa facebook leohii!

2B18BC97-70B3-4813-9D2C-850990EF58D7.jpeg
 
Back
Top Bottom