Anaanza kufaidi mfumo aliouanzisha.
Ni huyu bwana ndiye aliyekuwa akifanya kazi ya kuwatambua watu wanaotakiwa kushughulikiwa na wasiojulikana.
Ndiye aliyetenga chumba maalum cha kutesea watu wanaohoji pale Lumumba, ghorofa ya 5. Ndiye aliyekuwa akiandaa orodha na kuwakabidhi Bashite na Saambaya, sasa nadhani wanataka kumwonesha jinsi walivyofuzu shule aliyokuwa akiwafundisha.
Watu hawamjui huyu bwana, alikuwa ndiye aliyekuwa akiandaa orodha. Unatakiwa uunge mkono juhudi, kama hutaki, kama una biashara, jina lako analipeleka TRA ili ufilisiwe, kama huna biashara, jina lako linakabidhiwa kwa wasiojulikana. Ukionekana tena ni bahati sana.
Anachokifanya sasa kinatokana na kuchanganyikiwa. Haelewi afanye nini maana anapokea taarifa yanayomchanganya. Anajua siku yoyote ijayo anaweza kuwa kizimbani.