Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Anaanza kufaidi mfumo aliouanzisha.

Ni huyu bwana ndiye aliyekuwa akifanya kazi ya kuwatambua watu wanaotakiwa kushughulikiwa na wasiojulikana.

Ndiye aliyetenga chumba maalum cha kutesea watu wanaohoji pale Lumumba, ghorofa ya 5. Ndiye aliyekuwa akiandaa orodha na kuwakabidhi Bashite na Saambaya, sasa nadhani wanataka kumwonesha jinsi walivyofuzu shule aliyokuwa akiwafundisha.

Watu hawamjui huyu bwana, alikuwa ndiye aliyekuwa akiandaa orodha. Unatakiwa uunge mkono juhudi, kama hutaki, kama una biashara, jina lako analipeleka TRA ili ufilisiwe, kama huna biashara, jina lako linakabidhiwa kwa wasiojulikana. Ukionekana tena ni bahati sana.

Anachokifanya sasa kinatokana na kuchanganyikiwa. Haelewi afanye nini maana anapokea taarifa yanayomchanganya. Anajua siku yoyote ijayo anaweza kuwa kizimbani.
 
Chakubanga kiroboto, Polepole, psycho kajitengenezea tukio, ovyoooo!

Nani akamvunjie?? Kwa lipi??
Halafu eti anaenda polisi, haa haahaa

Bongo siyo kwa kuhama.

Everyday is Saturday................................😎
 
Anajitengenezea kiki na wapush gang wenzake huyo.
Wanacheza movie ya kitoto kabisa.

Wakati wanajua kabisa hakuna mwenye ushawishi.

Serkali haiwezi kumfuatilia mpuuzi kama huyo.
 
Pole sana kiongozi wetu mzalendo.Hakika Mungu atawalipia na tunakuombea siku moja uwe kiongozi mkubwa hapa nchini.Wewe ni miongoni mwa wazalendo wachache waliobaki Tz
 
Polepole usituletee drama hapa yaani asubuhi uondoke uende mishe zako usitandike wala kupanga ghetto kwako vizuri unarudi jioni unajifanya eti umeibiwa sijui umevamiwa.. achanga unaniliu


😀😀

Aisee
 
kuna mtu aliwahi kusema kua mtawamaliza wapinzani kisha mtaanza kumalizana wenyewe kwa wenyewe
 
Back
Top Bottom