Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Nani atawatuma zaidi yake? Hivi boss unadhani sisi ni wajinga hatujui lolote? Kama uhalifu wa kiongozi wa juu hauna baraka za rais lazima uchunguzi wa kina ufanyike. Lakini ukiona uhalifu wowote unafanyika dhidi ya kiongozi mkosoaji wa serikali na kusichukuliwe hatua stahiki, basi kuna baraka zote za rais. Hii kubali kataa lakini habari ndio hiyo.
Na ndio maana kipindi kile waislam walipigwa bit kuomba dua juu ya kilichofanyika kwa tundu lisu...Mungu huyu kweli hapokei rushwa! Badala yake wakatangulia wao
 
Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za dhamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa


View attachment 2041847
Mkuu unahakika na unacho kinena au unatulisha matango pori tu.

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom