Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Lissu ni shahidi mzuri wa hilo.
Wahuni bhana, hawawezi kushindana kwa hoja. [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wahuni bhana, hawawezi kushindana kwa hoja. [emoji23]
Wahuni ndio waliokuwa wanayatenda haya sasa wanajidhihirisha rasmiYaliyokuwa yanatendeka kipindi cha Magufuli aliona poa sasahivi anamkumbuka Mungu. Jamn ni kweli yawezekana tunatafuta utajiri lkn hata hao wakina Mkapa hawakuweza ht kula 10% ya walichokusanya. Ukiona uongozi uliopita ulikufurahisha jua kwamba wapo waliohuzunika kwa hyo inapobadilika jikaze
TWO WRONGS DO NOT MAKE A RIGHT!Mbona Lissu hamkutoa wito ajibiwe kwa hoja?
Lembelaga ng'wanikeSukumagang ngoja tujipange. Hao kina Samia na kundi lake tutawatoa bleed hata kama walishagota menopause. Si kwa kumwonea Polepole namna hii.
"wakishatumaliza Sisi watakuja na kwenu pia"....lissu aliongea Maneno haya
Sasa na hapa unataka kusema hao watu wametumwa na Samia?
Kuna watu huwa wanafanya vitu kwa maslahi yao binafsi tu bila ya baraka za viongozi.
Nagulembela ginehe,u ndugu wane ali mma makoye ?Lembelaga ng'wanike
Tena mwambie awahi huko polisi na hili ni onyo tuu.Polepole anapaswa ajikaze, lile kundi la wahanga wa Magufuli wanaonekana kujipanga, nimemsikia mzee mwingine leo kajitokeza.
Anapaswa akubali matokeo mbaya zaidi ameahidi kuwaanika baadhi yao, so hii inaweza kuwa wanamuwahi kumnyamazisha ili asianike siri zao
Ni hatari sana.
You mean yeye ataolewa na familia yake kabisaKarma is a bitch .
Wakati kina Nape wanashikiwa bastola alikuwa anachekea ,kina lissu wanaopigwa risasi anaona poa .
Ni funzo kubwa ,alisema kwa kejeli Lissu anakaa na bwana zake kakimbia nchi ,bila shaka kwa mda huu akili zinaanza kumkaa
Sehemu ikiwa na walinzi hua haiwezekani kwa wezi kuiba?Hakuna walinzi?