Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

WASIOJULIKANA BADO WAPO TU? Si mlisema walikuwa watu wa Magufuli!!!! This is government intimidation ambayo serikali yenyewe inapaswa kukalipia. Mjibuni Polepole kwa hoja na sio vitisho kwani halo matando menu yanaweza kuja kuwarudia na nyinyi pia kama yanavyomrudia Polepole!!!
Mbona Lissu hamkutoa wito ajibiwe kwa hoja?
 
pole.jpeg
 
Habari iliyopo kwa sasa ni kwamba nyumba ya mbunge mheshimiwa polepole mkoani Dodoma imevamiwa na watu wasiojulikana wameharibu mali za dhamani na kuacha ujumbe mzito wa kuwa aache kuichafua serikali ya sasa


View attachment 2041847
Dhamani [emoji777]

Thamani [emoji3581]

Hivi ni haujui kuandika au unakosea kusudi. Me nakerekwa na watu wanaoandika kwa kukosea makusudi. [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
 
Polepole anapaswa ajikaze, lile kundi la wahanga wa Magufuli wanaonekana kujipanga, nimemsikia mzee mwingine leo kajitokeza.

Anapaswa akubali matokeo mbaya zaidi ameahidi kuwaanika baadhi yao, so hii inaweza kuwa wanamuwahi kumnyamazisha ili asianike siri zao

Ni hatari sana.
 
WASIOJULIKANA BADO WAPO TU? Si mlisema walikuwa watu wa Magufuli!!!! This is government intimidation ambayo serikali yenyewe inapaswa kukalipia. Mjibuni Polepole kwa hoja na sio vitisho kwani hayo matendo yenu yanaweza kuja kuwarudia na nyinyi pia kama yanavyomrudia Polepole!!!

Yeye Polepole wakati akiwa na kiburi kwenye utawala wa kidhalimu wa Magufuli alikuwa anajibu kwa hoja? Tena alitakiwa akamatwe atobolewe macho na hao majizi wenzake wa CCM, hii itamsaidia kuvuna matunda ya siasa chafu alizopandikiza yeye na Magufuli.
 
Back
Top Bottom