Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Dodoma: Watu wasiojulikana wavunja na kuingia nyumbani kwa Humphrey Polepole na kuiba

Oooh my God,Dunia duara eti!

Pole sana ndugu yangu Humphrey ni mitihani ya Dunia ndiyo ukomavu kisiasa

Siasa hazihitaji uoga,unafiki au kujipendekeza wewe funguka tu.

Labda nikwambie au nikukumbushe kitu polepole ni kwamba Lissu yupu Ubelgiji na Lema yupo Canada kaka.

Na wewe tafuta Chaka au ubane kwenye Kona yako

Wahuni siyo watu wazuri,
 
Ushauri wako mzuri

Ova
 
Yaliyokuwa yanatendeka kipindi cha Magufuli aliona poa sasahivi anamkumbuka Mungu. Jamn ni kweli yawezekana tunatafuta utajiri lkn hata hao wakina Mkapa hawakuweza ht kula 10% ya walichokusanya. Ukiona uongozi uliopita ulikufurahisha jua kwamba wapo waliohuzunika kwa hyo inapobadilika jikaze
 
Wasiojulikana wameenda kutandua kitanda cha Pole pole na kufungua droo za meza

Polepole analeta Siasa za Dr Slaa enzi zile eti alikuta kirekodia sauti kwny chaga za kitanda kumrekodi akiongea na simu wakati TCRA kuna kila kitu

Hahahahahahha
 
Hii ndio CCM aliyoiasisi Polepole na mungu wao Jiwe!!

CCM ambayo iliacha siasa za mdomo ikahamia kwenye bunduki.

CCM ya Jiwe na Pole pole ilitumia nguvu na mabavu kunyamazisha hoja na ndicho leo inamfanyia mwenyewe...

Wahenga walipata kunena kuwa ubaya hauna kwao!
 
Back
Top Bottom